Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

everlenk.. Eli79 najua mmeiona hii ila nimewaita muone wivu.. isomeni tena.. huyu mtu ni hatari.. najivunia mwafrika huyu.. MKUBWA NA WANAWE.. KINDA MKONGWE... KING..
 
Last edited by a moderator:
Jose Mourinho: Chelsea boss reacts to Arsene Wenger dig
Chelsea manager Jose Mourinho has retaliated after his Arsenal counterpart Arsene Wenger questioned his side's defensive tactics.

Wenger provoked the Blues boss this week, saying: "It is easy to defend."

Mourinho retorted by mentioning Arsenal's Champions League last-16 exit in February, saying: "It's not easy. If it was easy, you wouldn't lose 3-1 at home to Monaco."

BBC Sport - Jose Mourinho: Chelsea boss reacts to Arsene Wenger dig
 

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amemjibu mwenzake wa Arsenal Arsene Wenger baada ya Wenger kuhoji kuhusu mbinu inayotumiwa na Chelsea kulinda lango lake.
Wenger alimchokoza kocha huyo wa Chelsea akisema kuwa ni rahisi kulinda lango,swala lililomshinikiza Mourinho kumjibu akisema kuwa iwapo kulinda lango ni rahisi ni kwa nini Arsenal walibanduliwa katika michuano ya kufuzu kwa robo fainali walipolazwa 3-1 na Monaco.
Timu hizo mbili zitakutana katika mechi ya ligi ya Uingereza itakayochezwa katika uwanja wa Emirates siku ya jumapili.

BBC
 
Twende kazi wanetu..
Nani kasema KINDA halitakuwepo!?? Na rekodi zote hizo


Kuwa Captain wa timu si jambo dogo.. na umri wote huu bado anacheza dk zote ktk mechi zote.. JT.. JT26.. The Captain

MAJANGA kazini... waueee

Mask man.. back to home.. waonyeshe kwamba unajua.. Obi, Solanke, Branna, na KINDA himself


Hatuaangalii nani kaanza nani yupo benchi... tunajali nani anaongoza timu..


Tukutane Kesho... Tumoke Kaya mbele yao.. tuchukue point 3 mbele ya wake zao

come on boys... #KTBFFH
 
Chelsea-Chelsea boss Jose Mourinho will make a late decision on whether to risk Diego Costa's fragile hamstrings against Arsenal in a potentially decisive match in the Premier League title race.

Costa has missed the last two matches, but could return ahead of schedule in place of Didier Drogba, who is fit after an ankle knock, as Chelsea seek a win which would see them move within three points of the trophy.

Striker Loic Remy (calf) is definitely out, so Dominic Solanke could come on to the substitutes' bench if Costa fails to make it.

Provisional squad:-Courtois, Cech, Ivanovic, Luis, Fabregas, Zouma, Ramires, Oscar, Hazard, Drogba, Mikel, Costa, Matic, Willian, Cuadrado, Cahill, Terry, Azpilicueta, Blackman, Loftus-Cheek, Solanke.

-
 
Olivier Giroud has scored 10 goals in his last 12 matches in all competitions.

Arsene Wenger has lost just five competitive home games by a three-plus goal margin during his tenure as Arsenal manager; three of which have come against Chelsea.

Didier Drogba has scored eight times in 11 Premier League appearances against Arsenal in his career. Against no team has he scored more in the division (also scored eight vs WBA).

Jose Mourinho has never lost as an opposition coach against Arsene Wenger in any competition (W7 D5 L0).

Arsenal have won just two of their last 12 league clashes with Chelsea (D2 L8). Chelsea have kept four clean sheets in their last six clashes with Arsenal, conceding just two goals in total. In the reverse fixture against the Blues back in October, Arsenal failed to have a shot on target for the first time in a Premier League match since September 2003 (Manchester United away).


Cesc Fabregas has a league-high 16 Premier League assists this season. Only Thierry Henry (20 in 2002-03), Frank Lampard (18 in 2004-05) and Fabregas himself (17 in 2007-08) have ever registered more in a single Premier League campaign.

Arsenal have won more points in 2015 than any other Premier League side (33).

Chelsea have scored first in all 20 of their games in all competitions in 2015.

#KTBFFH ... Come On Boys

 

Halafu bado sijajua we nonda shabiki wa wapi maana Chelsea wanaume wanakunyima raha why?
 
Kutoka magazetini
Today's back pages
Ronaldo + £200m = Hazard
Similar theme, but a different slant on the
Eden Hazard story from the Mail on Sunday.
Not only will Real Madrid have to pay £200m
for the Belgian, but they'll need to chuck in
Cristiano Ronaldo too. Bargain
 
Leo mou sijamuelewa kumchezesha hazard kama striker, suprise kwa arsenal. Kama hazard akifanikiwa kuimiliki hiyo sehemu basi atakuwa mchezaji hatari kuwahi kutokea duniani
 
Wazee leo ndio leo.kizingiti cha mwisho kabla ya kutangazwa mabingwa.kila la heri the blues.
 
Leo furaha yangu itakamilika Chelsea tukishinda maana hao watani zangu walicho fanywa!
 
Leo mou sijamuelewa kumchezesha hazard kama striker, suprise kwa arsenal. Kama hazard akifanikiwa kuimiliki hiyo sehemu basi atakuwa mchezaji hatari kuwahi kutokea duniani

Mou huwa hakosi suprise kila kukicha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…