Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


asante mkuu kwa picha
 

Shocked!!?? Hahahahahah.. Najua uko shocked kwasababu unajua KING DIDER YAVES DROGBA huwa hawaachi kila mkikutana nae...

Na Nina uhakika safari hii LAZIMA AWAFUNGE TENA
 
Shocked!!?? Hahahahahah.. Najua uko shocked kwasababu unajua KING DIDER YAVES DROGBA huwa hawaachi kila mkikutana nae...

Na Nina uhakika safari hii LAZIMA AWAFUNGE TENA


Drogba akitufunga na mkashinda naacha ushabiki. Kwa uzee ule amfunge nani, zilipendwa yule!!!
 
Invisible, mimi b5-click Mpenzi na Shabiki wa Chelsea F.C tarehe 26/04/2015.... Muda wa 6:00 PM Chelsea atacheza dhidi ya Arsenal.

Iwapo Chelsea atafungwa katika mchezo huu.. Ninaombwa nipigwe BAN hadi siku ya mwisho ya Ligi kuu ya Uingereza msimu huu wa 2014/2015 (24/05/2015) saa 7:30 PM

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Last edited by a moderator:
Hawa watu wanatuchezea The blues.... Eli79 nimeshaomba BAN.. bado wewe... Sign the deal.


Mkuu ata Mimi naomba Ban kubwa mpk msimu huu uishe iwapo Chelsea atafungwa na Arsenal hiyo tarehe 26..

Tena sitanii kabisa Invisible ktk hili. Nipigwe ban mpk mei tarehe 20. Naomba kabisa tafadhali

Hawa Gunners wanataka kutuchezea!
 
Last edited by a moderator:
Invisible, mimi Eli79 Mpenzi na Shabiki wa Arsenal F.C tarehe 26/04/2015.... Muda wa 6:00 PM Arsenal atacheza dhidi ya Chelsea.

Iwapo Arsenal atafungwa katika mchezo huu.. Ninaombwa nipigwe BAN hadi siku ya mwisho ya Ligi kuu ya Uingereza msimu huu wa 2014/2015 (24/05/2015) saa 7:30 PM

Natanguliza shukrani za dhati na shahidi atakuwa Ntuzu.
 
Last edited by a moderator:
BAK njoo huku umuone nduguyo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ata Mimi naomba Ban kubwa mpk msimu huu uishe iwapo Chelsea atafungwa na Arsenal hiyo tarehe 26..

Tena sitanii kabisa Invisible ktk hili. Nipigwe ban mpk mei tarehe 20. Naomba kabisa tafadhali

Hawa Gunners wanataka kutuchezea!


Nipo kuhakikisha hili linatendeka. Hatufanyi utani mkuu Ntuzu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…