Hapo naona tu tukipewa penalty za bure mkuu...wa kumkaba Hazard yukwapi? Willian na Ivanovic kule kulia? Oscar na Fab hapo kati? Droba/Remy??! Sijuiiiiiiiiiiii....
Drogba nae yumo kwenye list? Shocked!! Hazard nampa dogo Berellin tu anamtosha, Willian na Monreal. Katikati wala sitaki kukujibu, our midfielders are more complete than yours. Francesc amechoka tangu ilivyoanza January hajacheza mpira wa kueleweka, Oscar vile vile, in fact Francesc na Matic wana 9 yellows ambazo wakipata ya 10 vs QPR mtawakosa vs the gooners. Kiufupi we have an upper hand vs Chelsea.

Unasahau kuwa akipumzika Matic kuna Zouma...!
NA wote wawili - Matic & Fabregas- hawawezi kupata kadi kwenye game hiyo moja na QPR.
Habari za Drogba muulize Arsene Wenger atakuelezea muzuri zaidi.
Oscar atafufukia kwenu..
wait and see...so unanitishia na nani Coquelin? Cazorla mzee wa pupa? Yani labda umtaje TU Sanchez my friend..huyo tu ndo tutamkabidhi kwa Cahill amdhibiti...wengine wote ni mediocre kwetu.
I believe hiyo siku hata Matic na Fabregas wasipokuwepo we will still have an upper hand kwenu!!!! Nyie piganieni tu FA aisee maana nao #headlessChicken wanalitaka...

Ramirez

Hahaha Kiongozi naona tambo zimepamba moto!
Tukienda Emirates naombea kabisa Matic na Faby wasiwepo ili apangwe Zouma na Matic na Ramires ili hawa gunners wapotee kabisa!