Na wewe ndio mtoa dozi?
Ujitayarishe kusononeka.
Unaona Mourinho, jinsi anavyobebwa na waamuzi basi anajifanya mjanja kisaikolojia ili ku-influence abebwe zaidi. Ilipobakia Siku moja kwenda Swansea akajifanya kulalamika kuwa Chelsea inanyongwa na waamuzi. Na kuomba upendeleo maalum.
He had called on referee Neil Swarbrick to produce a strong performance at the Britannia Stadium.
Link BBC Sport - Jose Mourinho: Chelsea treated differently by football authorities
Lkn Jumanne hatuwaachi Anfield!Ndoto yenu ya quadruple inaanza kuzimwa Anfield
Nakupiga kama alivyokupiga Harry Keane!Yalew yale ya Tottenham yanaweza jirudia AnfieldLiverpool tunaipiga mkono km tulivofanya kwa swansea
Mimi sijatoa hoja, nimeeleza ukweli tu. Hutaki unaacha.
Siajakuona tena mkuu kule kwenye mazazi ya mungu. Umesilimu nini?
Manumbu umeona Jose alivo wa ajabu amekwenda kwao Swansea City na strong team hakujali kupumzisha wachezaji kwaajili ya mechi zijazo.............
Wenger kawapeni ubingwa wa mapema,hongereni sana
Wenger kawapeni ubingwa wa mapema,hongereni sana
Lkn Jumanne hatuwaachi Anfield!Ndoto yenu ya quadruple inaanza kuzimwa Anfield