Jay8
Member
- May 26, 2017
- 40
- 49
Habari Tanzania
Napenda kuitambulisha kwenu page mpya ya washabiki wa chelsea Tanzania.
mshabiki yoyote kutoka nchi yoyote unakaribishwa kutoa support
Page itakua na habari zote muhimu kwa ajili yako mnazi wa chelsea
Mawazo yenu ni muhimu kama ilivo support yenu
tegemea surprise na event nyingi msimu wa 2017/2018
naomba mnisaidie kushare ujumbe huu kwa woteNENDA

InstagramTAFUTA

chelseafc.tanzania (yenye bendera)
welcome all 