Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,599
Jamaa wa EWURA hamna kitu. Jasho tu lamtoka na kazi kusema mmmm,eeee,aaaa! Mtu 1 kasema EWURA ina coflict of interest katika kuamua ongezeko au punguzo la bei maana ina affect ile 1% yao wanayocharge kila mwezi!
kumbe ewura haina maana yoyote kuwepo...basi hiyo tutaiondoa kwenye hii katiba mpya inayokuja.