FredKavishe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,090
- 318
Mjadala wa kupanda bei ya umeme
Jamaa mwenye NGO kaja juu huyo! Ila kajichanganya. Anasema tatizo ni global warming halafu anakuja kusema hatuna upungufu wa nishati!
namuona kibanda wa chadema anavyomungunya maneno
Jamaa wa NGO katoa point sana! Anasema serikali haiwekezi kwenye umeme ila inategemea wawekezaji. Toka enzi za nyerere hawaja invest kitu. Pili kwanin wafanyakaz wa tanesco na viongoz wa juu hawalipi bei tunazolipa wengine.
Hili jamaa la Ewura pumba tupu.
Karibu kwa Vncle Ngeleja Masakiendeleeni kutujuza jameni. wengine tuna mgao..
endeleeni kutujuza jameni. wengine tuna mgao..
Karibu kwa Vncle Ngeleja Masaki
Hili jamaa la Ewura pumba tupu.
Takataka hasa hili jamaa, hii nchi inahitaji watu kama Dr. Slaa, jk dhaifu sana kusimamia uozo wa namna hii.
kama ni mkinga basi hapo studio patachimbika...jamaa ni noma na huwa hana woga wowote... najua atawafunika wote hapo...tatizo lake huwa ana temper sana...anaweza kurusha ngumi muda wowote. please keep us updated kwa kuwa kuna mgao huku.