Cheki maajabu ya mungu.

tomjelly

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
560
197
Hakuna nani wala nani wote CHOONI!, Uwe maskini au tajiri wote CHOONI!, Hakuna umashuhuri wala nini wote CHOONI!, Uwe Raisi au Mbunge wote CHOONI!, Uwe Sharo au Hardco wote CHOONI, Uwe maarufu kama mtoto wa baba Bene au si maarufu kama wewe wote CHOONI!. Asante Mungu kwa kuonesha Maajabu yako ya USAWA, Hakuna MIMI wala WEWE unayesoma hapa, wote CHOONI!, Kama umeenda chooni kausha, Ila kama hujaenda FUNGUKA!
 
Vyoo vinatofautiana dogo,mi natumia cha dhahabu we cha makuti wapi na wapi hapo.
 
Back
Top Bottom