Cheki maajabu ya mungu.

Cheki maajabu ya mungu.

tomjelly

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
560
Reaction score
198
Hakuna nani wala nani wote CHOONI!, Uwe maskini au tajiri wote CHOONI!, Hakuna umashuhuri wala nini wote CHOONI!, Uwe Raisi au Mbunge wote CHOONI!, Uwe Sharo au Hardco wote CHOONI, Uwe maarufu kama mtoto wa baba Bene au si maarufu kama wewe wote CHOONI!. Asante Mungu kwa kuonesha Maajabu yako ya USAWA, Hakuna MIMI wala WEWE unayesoma hapa, wote CHOONI!, Kama umeenda chooni kausha, Ila kama hujaenda FUNGUKA!
 
Vyoo vinatofautiana dogo,mi natumia cha dhahabu we cha makuti wapi na wapi hapo.
 
Poa Umla, ila hakuna hata mmoja anayetoa KEKI wala MAZIWA bali ni M@V# na Mkojo
 
Firauni/Farao alijiita Mungu....lakini chooni alikua anaenda kama kawa!
 
Back
Top Bottom