Cheke Chea


Joined
Feb 12, 2007
Messages
11,649
Likes
120
Points
160

X-PASTER

Moderator
Joined Feb 12, 2007
11,649 120 160
Mwalimu aliuliza swali wanafunzi wa chekechea wakawa wanajibu.

Mwalimu: Sehemu gani ya mwili mtu akifa inaenda mbinguni?

Mwanafunzi 1: Roho ndio inaenda.

Mwanafunzi 2: Moyo.

Mwanafunzi 3: Miguu.

Mh! Mwalimu alistuka akauliza "enhe kwa nini miguu?"

Mwanafunzi wa 3 akajibu...

"Jana nliona mama kanyoosha miguu juu uku akisema "oh God am coming... Huku baba kamlalia juu asiende"
 

Forum statistics

Threads 1,204,037
Members 457,106
Posts 28,139,008