Cheke Chea

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Mwalimu aliuliza swali wanafunzi wa chekechea wakawa wanajibu.

Mwalimu: Sehemu gani ya mwili mtu akifa inaenda mbinguni?

Mwanafunzi 1: Roho ndio inaenda.

Mwanafunzi 2: Moyo.

Mwanafunzi 3: Miguu.

Mh! Mwalimu alistuka akauliza "enhe kwa nini miguu?"

Mwanafunzi wa 3 akajibu...

"Jana nliona mama kanyoosha miguu juu uku akisema "oh God am coming... Huku baba kamlalia juu asiende"
 
Mtoto aliitwa Mboya. Mwallimu wake wa kike kamuuliza. Mtoto unaitwa nani? kikamjibu kwa kusitasita kikiinamisha kichwa chini huku kikiuma kidole Mbo-oya - Mwalimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom