Cheka unenepe:

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
645
Babu mmoja alikuwa akivuka barabara,ghafla akagongwa na baiskeli akazimia,wasamalia wema wakamweka kando ya barabara,mpita njia akasema "mnunulieni maziwa "Gafla yule babu akasema na bagia za 300/=............
teheeeeeeeeeeee teheeeeeeeeeeeeeeee..............
 
teh teh teh bana bana hiyo ki2 ipo kwetu india , iko wewe gongwa na bajaj mtu gonga wewe lazima ukupe ki2 dogo, teeeteeeetehhhh teeeteeeetehhhh iko mimi cheka sana
 
hahaaaa! haaaaaaaa!
jamani me hapa unipa faraja
haswa napokua nimechoka kama saa hizi!
 
Uuwiiii! Fantastic!!! tena huyo babu n mgogo alpomalza kula aliomba anunuliwe vngine vya mwezi mzima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom