Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
CHEKA UNENEPE: watoto wengine hasara tupu. Mjukuu alimkuta bibi yake anaanika chupi.
MJUKUU: Bibi, nini hicho unachoanika?
BIBI: Kitambaa changu cha kufutia mikono.
Mjukuu akaenda zake kucheza.
Jioni bibi anakwenda kwenye kamba haikuti chupi yake.
BIBI: We mtoto, kiko wapi kitambaa changu?
MJUKUU: Kipo sebleni nimewawekea wageni wakimaliza kula wajifutie mikono.
BIBI. kalete chupi yangu. MSENGE nn.,.?