Hapana mimi wa kabila lingine kabisa. Ni vile sitaki mchezo. Ale chake kama hajashiba aseme, nitanunua kingine. Ishanitokea, kudokolewa mishkaki yangu kwa kuwa ni mingi na yeye kaagiza miwili tu wakati nilimuambia agizia chochote. Nikaita muhudumu nikamwmbia mpe mishkaki kumi huyu. Ili aache kula ya kwangu.