sipendi wanawake wakivaa hivyo
sipendi kabisa
Mwanamayu, huku ni kuingilia privacy za watu!. Kutoa picha facebook na kuileta humu kwa lengo la kumdhalilisha mdada wa watu kwa sababu tuu ya rangi yake, sio kumtendea haki!.
bila shaka mwanamke atakua na mshiko......

Pasco
Hivi mwenye picha karuhusu au kapost mwenyewe?
Ni kweli hawajamtendea haki!.Sijapenda huyo kaka namjua ila kuingilia privacy ya mtu na kuweka hadharani bila willing yake tena kwa kejeli ni ujinga na ushamba na umedhihirisha level ya foolishness yako!
Sijapenda huyo kaka namjua ila kuingilia privacy ya mtu na kuweka hadharani bila willing yake tena kwa kejeli ni ujinga na ushamba na umedhihirisha level ya foolishness yako!
Yes....lakini biharusi akishavaa hivyo, mimi humwona kama kimalaya tu kilichodandia lift
Mwanamayu, huku ni kuingilia privacy za watu!. Kutoa picha facebook na kuileta humu kwa lengo la kumdhalilisha mdada wa watu kwa sababu tuu ya rangi yake, sio kumtendea haki!.
Ila pia kwa sisi tuliopita pita huku na kule, ..... ya kitu black inakolea kuliko kitu white!, sambamba na taste ya kitu natural inakolea kuliko mikorogo!. Black is always beautiful!.
Kuhusu wanawake weusi na weupe, tumewahi kuwazungumza sana humu!.
Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!.
Tatizo wasichana black beauty ni wachache sana kuliko weupe!
Ni kweli wanawake weusi ni watamu kuliko weupe?
Wanawake weusi wana joto zaidi ya weupe -
Mwanamke mweusi jamani
Pasco
Hivi mwenye picha karuhusu au kapost mwenyewe?
Sijapenda huyo kaka namjua ila kuingilia privacy ya mtu na kuweka hadharani bila willing yake tena kwa kejeli ni ujinga na ushamba na umedhihirisha level ya foolishness yako!
Ni kweli hawajamtendea haki!.
Pasco
Isije kuwa amenyang'anywa tonge mdomoni....yani kavurugwa
Da! Picha ya mdogo wangu hii, hivi JF sheria zinasemaje kuhusu kupost kitu ambacho hakijapata idhini ya mwenyewee? Iondoeni hii picha.
Kuna watu waji nga sana. Wewe hata mavi hujui tengeneza lakini una thubutu kukosoa au kucheka uumbaji wa binadamu mwingine. This is soo absurd. And she is a beautiful woman. Na hata kama wewe humuoni mzuri anakupunguzia nini. Watu wa namna yenu maisha yanakua yamewa shinda,mna low self esteem na deep pains and resentment inside.