Cheaters: The Series

Ni ngumu sana kwa mwanaume kuchomoa kwa mwanamke. Na mwanaume akiweza, mwanamke tambua huna unachomvutia hata kimoja. Sisi tunapenda vipandevipande
 
😀😀😀😀😀😀 Ras ndio kaisha aisee. Bila shaka alidhani atamake na Marga ila ikawa kinyume. Nahisi Marga baada ya kuwin match alianza kulenya nyodo sababu hakuwa na mshindani tena, ikasababisha stress kwa Ras akaanza kumkumbuka Zoya. Akalose focus kwenye kazi zake, mapenzi yakamchanganya. Akajiona mjinga asiye na thamani. Akakosa mwelekeo baada ya wadhamini kukata kamba, akabaki kuwa mibangi the writer.
 
Naungana na wadau huko juu. WE CAN'T BREATH!! Fanya kuwa unaitoa vipande angalau viwili kwa wiki, japo najua kuna mafala wanasubiri iishe ili wakauze fb na kwenye groups za WhatsApp.
 
wacha Ras afulie
unasemeshwa na mtoto unanunanuna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…