KigaKoyo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 278
- 1,997
- Thread starter
- #101
Episode 5
Marga.
Jamani nimeona niingilie kati, maana kuna dalili kuwa nikiruhusu Zoya aingie hapa ataniharibia kabisa personality yangu. Ngoja kwa leo niwape intro ya harakati zangu......
Kuna wapenzi wasomaji wanaodhani labda interest zangu kwa Ras zimekuja kwa sababu ya mafanikio yake. Hapana, sijawahi kuacha kumpenda Ras, ni vile tu pale mwanzoni sikuona kabisa kama Ras yuko serious na life yake. Nlitarajia nikimuacha atajipanga ili awe na life analostahili, maana he had a big potential kwa kweli.
Kwa kuwa Ras kawa aina ya mtu ninayetaka ktk maisha yangu, ndo maana nilijiapiza kumrudisha kwenye himaya yangu. Kuna namna mbili tu za kum-win mwanaume. 1. Pull him to you 2. Make him be pushed to you. Ila vyote hivi haviwezekani kama hampo na ukaribu, au basi walau ajue uko interested
Kitu cha kwanza kabisa ilikua kuhakikisha ananiona mara nyingi kwenye simu yake. Yaani kila siku ilikua lazma nimtext, sometimes napiga kabisa. Na sikua napata shida asipojibu maana halikua lengo langu kuchat nae, hii ilikua tu ni step ya kwanza ya mkakati wangu.
Then I needed to get close to him bila yeee kushtuka. Nikajaribu kufikiria, nikagundua njia nyepesi ni kuwa rafiki wa rafiki yake. Nikajaribu kupeleleza kama bado yupo close na Nshomile, sikuona dalili. Ras alikua kama hana tena rafiki wa karibu, the guy was only close to his job. Nikagundua namna pekee ya kumkaribia Ras ni kupitia mmoja wa wafanyakazi wake pale ofisini kwao.
So nikatunga uongo na kweli nikaweza kutinga ofisi zao. Sikutaka nizoeane na mdada, kwa mkakati wangu, mkaka angenifaa zaidi. Maana wadada wanamachale sana, angejua motive yangu mapema, na unaeza kuta mdada nae anamemzimikia Ras ukajitengenezea mazingira ya kupigwa vita from two fronts.
Wala haikuchukua time, nikajikuta nimemuweka karibu dogo mmoja hivi anaitwa Albert. Pale ofisini alikua ndo mhasibu. Basi nikawa namtoa toa lunch dogo akajua labda anapendwa hahaha, kumbe mi nataka tu info. Na alinisaidia kinoma.
Kutoka kwa dogo nikajua kuanzia ratiba za Ras, wapi anakaa, na kikubwa zaidi anadate na nani. Hadi picha nililetewa ndugu msomaji. Kalikua kabinti kazuri, ila hakanifikii ofcourse. So mkakati wangu ni kwanza ukawa kuhakikisha Ras anakumbuka anachokikosa. Maana naamini kwa mapenzi nliyokua nammegea, sidhani kama huyu mtoto wa kishua anaweza mpatia.
Kutokana na ratiba nliyopata kwa dogo, nikawa najua wana trip ya Arusha hivi karibuni. Nikajua hadi hotel watakayofikia yy na timu yake ya superstars. Nikasema hukohuko ndo naenda kumchukua. Akirudi dar atakua ashabadili timu. Siku zilivyofika sikufanya ajizi, nikatinga arusha pia.
Nilitumia gharama aisee, ila wala sijutii. Maana ilibidi na mm nichukue chumba Mount Meru, hotel ambayo akina Ras wamefikia. nlifika alhamisi nakumbuka, nikitarajia siku ileile jioni nirushe karata yangu ya kwanza. Baada ya kuoga na kujipamba nikazurura pande mbalimbali za ile hotel, Ila hola, sikumtia machoni kabisa Ras. Yaani mpaka narudi kulala jiko hoi. Nishapoteza siku hivyo dah.
ijumaa yake mchana nikaendelea na mawindo. Nlihakikisha kwanza napendeza kinyama. Kitop cheupe na kiskin jeans cheusi kilichonikaa vema ndo nlitupia. Sikupata taabu sana kama jana yake. Nlimuona amekaa na jamaa yake kwenye counter ya bar iliyopo karibu na swimming pool. Nikamsogelea then nikajidai kushangaa, “OMG! What a small world!, upo arusha kumbe Ras,?” kuniona alishidwa kuzuia mshangao, ikabidi asimame anihug. The hug wa sooo gud. Ras sio yule wa zamani, Ras sa hivi kajaa kifua, ananukia, anapendeza, dah. Kuna mda nlihisi kama mkono wake unataka kuteremka takoni ila akajizuia hahaha, au mawazo yangu tu? Ila kama ni kweli basi huyu hachukui round.
Baada ya kutambulishana sikutaka kujidai najiweka pale sana. Nikaaga. Ingawa kiukweli nlitamani nikae pale niwe karibu yake, nivute pumzi yenye harufu nzuri ya huyu mwanaume. Ila nikajikaza nikajidai kuna issue nafanya. Kufika tu room naona msg yake, “was happy to see you", nikasema yap kashanasa huyu. Sikuijibu kwa haraka, nliacha kama masaa mawili yapite ndo nikamjibu kuwa nimefurahi kumuona pia, and hopefully tutaonana tena soon. Msg ikajibiwa fasta, “I hope so too”, mi nikajibu kwa vile viemoji vya vidole vya chadema.
Kesho yake nikawa nimealika shost zangu wawili ambao wanakaa arusha. kimsingi nlikua pia nimewamiss so nikapanga niwaone pia. wakaja pale Mount Meru. Tukachagua sehem tukakaa tunapata kilevi. Dah yani nikikumbuka gharama nlizotumiaga pale….. mfano bia ni mara tatu ya bei ya mtaani, yaani bia elf sita (kwa bei ya sasa) na hawa shosti zangu ni walevi hasa. Ila it was all worth it.
Mida ya saa saba hivi nikamuona anapita, nikajikausha kama sijamuona. Na kwa kweli leo nlijipamba hasa, asingeweza pita bila kuninotice. kweli kaniona akaja. Nikasimama ili nimsalimie vizuri, lakini lengo ilikua anione vizuri nlivopendeza kwa ajili yake, gauni fupi ilitambaa na maungo yangu, shepu yangu ikawa wazi kwa ajili yake anione, ainjoi. And he noticed. Maana alinipa hug tena, and this time mkono ukashuka takoni, nikasmile. Yaani wanaume, tamaa tu zimewajaa, kuniona tu vile kasahau kabisa kuhusu kidem chake cha Dar.
Tukamkaribisha akae akachomoa. Alivyoondoka, wale mashosti acha wamsifie, mi najidai sina mpango nae. Baadae akatuma msg, “you look good in white", nikashukuru huku natabasam ili kama ananiona ajue nmefurahia complement yake. Nikamtumia msg kusuggest twende nyamachoma kwa mrombo, hii hakujibu. Nikaanza kujisikia vibaya, au nimeenda speed sana? Hadi mood ya kukaa pale ikaniisha, nikatafuta sbb nikawaacha wenzangu nikaenda room kulala.
Nmekuja kuamka saa kumi hivi. Kucheki simu nakuta msg, “fine, saa ngapi?", woyoooooooooo. Hilo shangwe nusra liamshe majirani. Nikajibu fasta, hata ss hivi. Na yy wala hakuchelewa, akanambia tukutane parking in 30 mins.
Kwa Mrombo tuliinjoi nyama tu. Hakuna aliyekua anamwambia mwenzake abt the past, sanasana ilikua ni story abt the beauty of Arusha. Ntaanzaje kuongelea past events bila kukumbushia maumivu nliyomsababishia. So nikawa nampigisha tu stories nyingine. Mida ya saa mbili hivi tukiwa tunarudi nikawa najiuliza kama itakua good idea nikampe mambo leo au niendelee kumvuta kwanza. Na kama ni leo namuingiaje? Nikaamua night ntamvamia tu room kwake kwa sbb yeyote ile, najua aezi kataa uchi akipelekewa. Wakt nawaza mwenyewe akashauri baadae twende Tripple A. Nikasema huyu anataka papuchi pia, maana mida tutakayotoka club ni mida mibaya na ni rahisi kuishia kulana. Tukapanga tujiandae then kwenye saa tano tutoke.
Ile tunaingia hotel, uso kwa uso na dem wake Zoya. Tena hata sio ndani. Palepale kwenye mlango wa kuingilia. Dah, kile kidem kinamachale balaa. Leo ilikua rasmi namchukua jamaa yake. Kalivyotuona tu nikajua kamemind. Hata ingekua mm lazma ningemind, ila hakakusema kitu, kanajidai kutabasam pale, kakamhug bwana ake, tena sio hug ile ya kugusanisha vifua tu. Ilikua ni ile ya kupotelea mwilini mwa Ras. Na ili kunikomesha akamkiss lips, dadeki, nlikoma. Ikabidi niage. Bt Ras akasema anitambulishe kwanza, “huyu ni mpenzi wangu anaitwa Zoya, na babe kutana na Marga my ….”, hata kabla hajamaliza Zoya akamalizia “….your ex-girfriend”, ,......
Wasalaam
Kiga.
Sent using Jamii Forums mobile app