Kama nlivyosema weekend hii nimeandika ndefu. So kuna episode nyingine ya kuendeleza ilipoishia hii. Uamuzi ni wenu, ije leoleo, kesho kumalizia weekend au katikati ya wiki?
Sijui nijipe adhabu gani kwa kuchelewa kuipata hii.. you're the best KigaKoyo hiyo madini iko kwa kichwa yako tafadhali fanya juu chini isipotee bure..!!