Cheaters, plz be smart

Cheaters, plz be smart

Loh nikipata mume ka wewe ngumi zinakutosha na mwiko wa kichwa
wanidanganya siku takatifu??

Mwanaume kama mimi uta enjoy sana maana sitoki nyumbani kabla sija ona smile lako la ukweli halafu unanichum... hamna cha ngumi wala msonyo
 
Mkuu Elia hapa ni pagumu sana kushauri na sio rahisi kama wanavyofikiri
Ukiwa mle ndani wameandika kabisa Elia asante kwa kazi yako ya jana au Elia safari yetu ya bagamyo niliipenda sana na kazi uliyofanya ni nzuri wakati umeaga kwa mkeo unaenda bagamoyo kweli na au Elia kitenge kizuri kimepita nichukue au Elia kodi ya nyumba imeisha utakkwepea wapi mkuu

Kila shetani na mbuyu wake, ila usije Rogwa ukakiri udhaifu hapo utakuwa unawakaribisha ustawi wa jamii...
Jigeuze mganga wa kienyeji... anaye jitangaza anatibu magonjwa yooote wakati anajua sio kweli.. danganya hata uongo obvious maana hawa ndugu zetu wataamini tu. Tumia maneno laini laini tu.
 
Kweli mkuu Elia hapo yabidi utumie ujuzi wa ziada wa kubembeleza na kuongea kwa lugha laini kama ile ya wakati wa uchumba kujaribu kuokoa jahazi lisizame
 
Last edited by a moderator:
Kila shetani na mbuyu wake, ila usije Rogwa ukakiri udhaifu hapo utakuwa unawakaribisha ustawi wa jamii...
Jigeuze mganga wa kienyeji... anaye jitangaza anatibu magonjwa yooote wakati anajua sio kweli.. danganya hata uongo obvious maana hawa ndugu zetu wataamini tu. Tumia maneno laini laini tu.

Kukiri ni kosa kubwa. hata akikufumania gesti unamkamua mrembo, mwambie "mke wangu naona Mungu kakuleta kwakuwa usingekuja leo ningeisaliti ndoa yetu takatifu" Afu unamshika mkono unamwambia twenzetu nyumbani mama, achana na huyu ibilisi.

With time atakusamehe na kusahau. We unaendelea kudumisha mila na maibilisi feki mengine mengi tu.
 
Yote hayo mkuu yanategemea kama bwana pepsi hajakukuta na kama mkeo hajashika hiyo simu na kusoma kilichomo au kupokea simu ya kimeo kimoojawapo

All in all tunajaribu kupamba jukwaa tu, lakin ukutwe na KIDHIBITI tena ghafla bin vuu. Waweza geuka bubu kiukweli.
 
Mzee huwezi kusema hivyo wakati humo ndani kuna msg kibao zimekutaja kwa jina kabisa! Mara 'Elia jamani jana ile mechi sitaisahau'.........au 'Yaani mpenzi Elia yaani limke lako linavyo niudhi'? ............, Unasemaje ya rafiki yako hapo sasa mkuu?

Nimekusoma mkuu,
Kitu cha kwanza kama nilivyo sema jitahidi kuepuka sura ya hatia ikiwezekana jizungushe hukooo weee rudi kuna kigiza giza kidogo. fanyeni mazungumzo yenu chumbani (kama unashindwa kukontrol sura yako) usiangaliane naye usoni direct. jitahidi kujua undani wa uelewa wake ktk hilo then tengeneza sanamu halafu litwishe lawama NB; usimuhusishe shetani hapo (kosa la wanaume dhaifu)
 
Kukiri ni kosa kubwa. hata akikufumania gesti unamkamua mrembo, mwambie "mke wangu naona Mungu kakuleta kwakuwa usingekuja leo ningeisaliti ndoa yetu takatifu" Afu unamshika mkono unamwambia twenzetu nyumbani mama, achana na huyu ibilisi.

With time atakusamehe na kusahau. We unaendelea kudumisha mila na maibilisi feki mengine mengi tu.

Thats Ma Brother !
 
Marahaba kijana.

Chondechonde usiwe mzembe. Utavunja ndoa yako takatifu

Nashukuru kwa ushauri,nahisi unahitajika sana hasa kwa wanaume hawa ambao wana simu ya ofisi,family and friends na 'KIUNGANISHI'.
 
Inaonekana cheating ishakuwa fashion na issue ni jinsi yakucheat smartly na siyo kutokucheat eeh! Sasa kwanini wanaume mkisikia mwanamke amecheat mnakuwa wakali ilihali nyie mpo busy hapa kufundishana jinsi yakucheat bila kugundulika? Au ndyo mkuki mtamu kwa nguruwe? Hivi nini maanda ya ndoa? I'm getting confused :A S confused:!
 
Nashukuru kwa ushauri,nahisi unahitajika sana hasa kwa wanaume hawa ambao wana simu ya ofisi,family and friends na 'KIUNGANISHI'.

Sijakutuma ukafanye upembuzi na usukununu. Wanaume hatucheat tunadumisha mila
 
Inaonekana cheating ishakuwa fashion na issue ni jinsi yakucheat smartly na siyo kutokucheat eeh! Sasa kwanini wanaume mkisikia mwanamke amecheat mnakuwa wakali ilihali nyie mpo busy hapa kufundishana jinsi yakucheat bila kugundulika? Au ndyo mkuki mtamu kwa nguruwe? Hivi nini maanda ya ndoa? I'm getting confused :A S confused:!
Ukicheat usigundulike ukigundulika ni tatizo, hapo ndio kusafisha kunapo hitajika, Sisi tunakumbushana kuokoa ndoa pindi inapopigwa na mawimbi sio kwamba tunafagilia cheating... lakini ukweli lazima usemwe... na dnoa lazima zidumu
 
Simple sana hiyo; Pointi ni kwamba hiyosimu wala namba hazifahamu...

Mwambie simu uliiacha makusudi pale ndani, na siyo yako ni ya jamaa(rafiki yako) jana alilewa akaisahau hivyo ukamtunzia asije poteza, Baada ya intro hiyo namuomba anipe hiyo simu ili nimpelekee jamaa jioni

Hapo xasa ni itakuwa bi uongo unaofanana na ukweli mi nakfiri kwa maelezo ya awali inaonesha mkea anaijua hiyi cm iweje leo umwambie ni ya jamaa yako hapo unajiingiza choo cha kike.
 
Naona wewe sasa unaweza kutupa tafsiri mpya ya ndoa! Kwanini cheatng iwe ndiyo solution yakuokoa ndoa wakati wa mawimbi na siyo kutafuta kisababishi cha mawimbi? Mi nadhani cheating nikuongeza tu mawimbi ndani ya ndoa and not the otherwise! Kumbuka huko mnakoanzisha mahusiano mapya nako hakukosi mawimbi yake! Tujaribu kuwa waamnifu kwa MUNGU na kwa viapo tunavyoweka wakati wakufunga ndoa. Vinginevyo nikujitafutia magonjwa ya moyo ambayo yangeweza kuepukika!

Ukicheat usigundulike ukigundulika ni tatizo, hapo ndio kusafisha kunapo hitajika, Sisi tunakumbushana kuokoa ndoa pindi inapopigwa na mawimbi sio kwamba tunafagilia cheating... lakini ukweli lazima usemwe... na dnoa lazima zidumu
 
Ni mizembe tu ndo haiweki password kwe simu ya kutendea kazi. Afu ni mzembe tu atakayekumbuka kuchukua simu takatifu akasahau simu sheitwain. Na ni mzembe tu anayerudi nyumbani na simu kiunganishi. Ofisini hana droo?

Mijitu kama hiyo iache itiwe bakora na wake zao.

Hhahaha babu Aspirin inaonekana uko vizuri katika swala la kucheat...
 
Kukiri ni kosa kubwa. hata akikufumania gesti unamkamua mrembo, mwambie "mke wangu naona Mungu kakuleta kwakuwa usingekuja leo ningeisaliti ndoa yetu takatifu" Afu unamshika mkono unamwambia twenzetu nyumbani mama, achana na huyu ibilisi.

With time atakusamehe na kusahau. We unaendelea kudumisha mila na maibilisi feki mengine mengi tu.

Hahahahahah.................umetisha Mkuu.
 
kwani leo siku gani? mtoa mada rudi huku kutumalizia story
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom