Cheap android phones unazoweza kununua

Kwakuwa umetaka android sina uzoefu sana maana me niliwahi kutumia android ya LG na tatizo kubwa lilikuwa chaji yake,haikai kabisa na chaji,ila nakushauri ununue iphone ipo sawa sana.
 
Mkuu chief-mkwawa hiyo simu kuna jamaa yangu anayo yaani some places haishiki 3G kabisaaa wakati mchina wangu unashika na tunatumia mtandao mmoja

Sasa kwan we huzijui hardware za android? Kisa wana os rahisi basi simu zao wanalipua tu
 
Last edited by a moderator:
na hapo ndo ksheshe maana wabongo weng tunarihika na hadware. ndo maana utaskia "nataka toleo la kwanza maana zlikua ngumu":bolt:
 
na hapo ndo ksheshe maana wabongo weng tunarihika na hadware. ndo maana utaskia "nataka toleo la kwanza maana zlikua ngumu":bolt:
 
jaman nlikua naptia web flan ya androisds nkakuta t mobiles pamoja na huawei wana taka kuachia androids for only 19.99$ . That will be the cheapest androids ila ndo hvyo im not sure kama hawa T-mobile wanafanya kaz na tanzania bofya hapa

Nurbert ukiskia 19.9 hio ni locked kwa miezi 6 so unazidisha mara 6 itakua kama 180 usd.

Ni kama wanavosema lumia 900 ni 49.9 au samsung galaxy s3 ni 99.99usd
 
Nafkiri ndio inakua unlocked mkuu (naguess tu) maana mkataba ni miezi 6
kuna sehemu zingine hadi miezi kumi na mbili au 24,

ukishamaliza sasa hapo simu hiyo hulipi hela ya mwezi na wao hawakupi offer wala service yeyote juu ya hiyo simu kama matengenezo,unakuwa mteja wa kawaida tu
 
Anavomaanisha ningar ni kua baada ya huo mda kupita je unaweza kueka line nyengine? Haiwi locked tena?
 
mbonahiyo samsung galaxy pro series ni ya kawaida sana
 
Jamani naomba mnisaidie, ninunue cm gani nzuri yenye uwezo mzuri wa internet na iwe na os ya android. Jaribu kutofautisha na bei ikiwa ni pamoja na picha kama inawezekana na mahali nakoweza ipata mie niko mikoani.

Samsung galaxy y duos nipm kamA unahitaji
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom