๐—จ๐˜๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ด๐˜‚๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐—” ๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—œ๐—˜๐—ฆ ๐—”๐—จ ๐—œ๐—ก๐—™๐—œ๐—ก๐—œ๐—ซ ๐—›๐—ข๐—ง ๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—œ๐—˜๐—ฆ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,366
Reaction score
2,797
1_20250826_002637_0000.png

๐Ÿ—ฏ๏ธ Leo nakuletea comparison kati ya Samsung A16 na Infinix hot 60 pro zote ni simu ambazo zimeshaachiwa ziko sokoni , ni simu ambazo mid range phone zenye Muonekano poa, storage nzuri je utofauti wao uko wapi ?

๐Ÿš€ Processor
Samsung A16 na Infinix Hot 60 pro zote zinatumia processor MediaTek lakini Samsung yake ni Helio G99 wakati Infinix ni Helio G200 hivyo kwenye kasi na Matumizi bora kwenye upande wq Games, multitasking tumia Infinix iko poa zaidi.

2_20250826_002637_0001.png

๐Ÿ”‹ Battery
Zote zimekuja na Usb type C Samsung betri lake ni 5000mah ikiwa 25W fast chaji Wakati Infinix ni 5160mah ikiwa 45W fast chaji ikiwa na Reverse chaji 10W ambapo unaweza chaji kwa muda mfupi toka asilimia 0 mpaka 50% ndani ya dakika 30 kuliko Samsung.

โš™๏ธ Android support
Samsung imekuja ikiwa na Android version 14 Utaweza kupata update ya miaka kadhaa ikiwa na Samsung One Ui 6 wakati Infinix Yenyewe ina android version 15 ikiwa na Xos 15.1 Utaweza kupokea android 16 na matoleo mengine kadhaa.

3_20250826_002637_0002.png
4_20250826_002637_0003.png

๐Ÿ“ธ Camera
Zote zimekuja zikiwa na kamera nzuri sana zenye kutoa picha kali wakati wa jua kali Pamoja gizani bila kuathiri Muhusika hivyo unapopiga picha inatoa picha kali kwa zote ziko poa kwenye kamera.

6_20250826_002637_0005.png
7_20250826_002637_0006.png

Zote zinatumia Teknolojia ya Fingerprint kufungua simu kwenye Samsung Fingerprint ๐Ÿซ† iko Pembeni kwenye Button ya kuzima na kuwasha simu wakati Infinix iko kwenye kioo mbele.
 
View attachment 3453787

๐Ÿ—ฏ๏ธ Leo nakuletea comparison kati ya Samsung A16 na Infinix hot 60 pro zote ni simu ambazo zimeshaachiwa ziko sokoni , ni simu ambazo mid range phone zenye Muonekano poa, storage nzuri je utofauti wao uko wapi ?

๐Ÿš€ Processor
Samsung A16 na Infinix Hot 60 pro zote zinatumia processor MediaTek lakini Samsung yake ni Helio G99 wakati Infinix ni Helio G200 hivyo kwenye kasi na Matumizi bora kwenye upande wq Games, multitasking tumia Infinix iko poa zaidi.

View attachment 3453788

๐Ÿ”‹ Battery
Zote zimekuja na Usb type C Samsung betri lake ni 5000mah ikiwa 25W fast chaji Wakati Infinix ni 5160mah ikiwa 45W fast chaji ikiwa na Reverse chaji 10W ambapo unaweza chaji kwa muda mfupi toka asilimia 0 mpaka 50% ndani ya dakika 30 kuliko Samsung.

โš™๏ธ Android support
Samsung imekuja ikiwa na Android version 14 Utaweza kupata update ya miaka kadhaa ikiwa na Samsung One Ui 6 wakati Infinix Yenyewe ina android version 15 ikiwa na Xos 15.1 Utaweza kupokea android 16 na matoleo mengine kadhaa.

View attachment 3453791View attachment 3453792

๐Ÿ“ธ Camera
Zote zimekuja zikiwa na kamera nzuri sana zenye kutoa picha kali wakati wa jua kali Pamoja gizani bila kuathiri Muhusika hivyo unapopiga picha inatoa picha kali kwa zote ziko poa kwenye kamera.

View attachment 3453793View attachment 3453794

Zote zinatumia Teknolojia ya Fingerprint kufungua simu kwenye Samsung Fingerprint ๐Ÿซ† iko Pembeni kwenye Button ya kuzima na kuwasha simu wakati Infinix iko kwenye kioo mbele.
Infinix wanasimu Kali sana kuliko hizo Samsung nyingi za a series
 
Back
Top Bottom