Cheap android phones unazoweza kununua

Mwenye SAMSUNG GALAXY ACE duos GSM (GT- S6802)... With 832 mHz na 512 RAM
Samsung-GALAXY-Ace-DUOS.jpg

Give me da price
 
Kwa jamii yetu ya kitanzania uelewa wa android umekua mdogo sana na siku zote watu wanafikiria simu hizi ni za bei ghali nimeandika makala hii ya kuzichambua simu za android za bei rahisi.

Pia jamii yetu bado haijazipokea simu za touch screen ikiwemo mimi (msinione mshamba) kwa hiyo ntaanza kuelezea simu za android za bei rahisi zenye button(qwerty).

motorolla fire xt311
motorola-fire-dual-chip.jpg

perfomance: ram 256mb processor 600mhz
picha na video: camera 3.15 megapixel na secondary camera haina video inachukua 480p
special inaingia line 2
makadirio ya bei: kuanzia 180,000 mpaka 250,000

LG Optimus Pro C660
lg-optimus-pro.jpg

perfomance: storage 150 ram 256 processor 800 mhz
picha na video: camera ni 3.15 mp secondary camera hamna na video 480p
makadirio ya bei: ni 200,000 mpaka 300,000

samsung galaxy pro series
Hapa nimezigroup samsung nyngi kama
-Samsung Galaxy M Pro B7800
-Samsung Galaxy Y Pro B5510
-Samsung Galaxy Pro B7510
samsung-galaxy-y-pro-b5510.jpg

Ni simu ambazo zinakaribia kufanana na hizo hapo juu kasoro m pro ipo advanced kidogo bei zinarange 200,000 mpaka laki 3.

Baada ya kutoka preference yangu ya qwerty sasa tuje kwa wazee wa kugusa na kuslide (touch screen phones) wao pia wana cheap devices kama zifuatazo.

htc explorer (pico)
htc-explorer-ofic.jpg

perfomance:storage 90mb ram 512mb na processor 600mhz
picha na video: 3.15 megapixel haina secondary camera video ni 480p
makadirio ya bei: 200,000 mpaka 250,000

lg optimus net
lg-optimus-net.jpg

perfomance:storage 150mb ram 512mb na processor 800mhz
picha na video:3.15 megapixel no secondary video 480
makadirio ya bei: 200,000 hadi 300,000

samsung galaxy vidogo
samsung-galaxy-fit-s5670.jpg

Hapa najumuisha simu zifuatazo
-Samsung Galaxy Y Pro Duos
-Samsung Galaxy Fit S5670
Hio duo ni double line zote zinafanania na wenzao juu ila galaxy fit ina 5mp
Bei pia zinafanania

muhimu
-storage ni memory ya simu unaweza expand memory kwa kutumia memory card hadi 32gb
-simu zote hapo juu ni android Gingerbread 2.3 na kama ni froyo utaweza i upgrade
-naweza kua nimekosea sehemu nirekebishe ili niweze ku update thread
kaka izo bei ni za kweli nkutafute
 
jaman nlikua naptia web flan ya androisds nkakuta t mobiles pamoja na huawei wana taka kuachia androids for only 19.99$ . That will be the cheapest androids ila ndo hvyo im not sure kama hawa T-mobile wanafanya kaz na tanzania bofya hapa
 
Jamani naomba mnisaidie, ninunue cm gani nzuri yenye uwezo mzuri wa internet na iwe na os ya android. Jaribu kutofautisha na bei ikiwa ni pamoja na picha kama inawezekana na mahali nakoweza ipata mie niko mikoani.
 
mkuu ungepitia uzi huu chief mkwawa kaweka v2 vya androids. May b unaweza kupata mwanga kdogo! Uspordhka usisite kutiririka
 
Kama unahitaji simu bomba ya android, nunua SAMSUNG GALAXY S au S2 au S3. You wont regret. Ila kauwezo kawepo.
 
Kwakuwa umetaka android sina uzoefu sana maana me niliwahi kutumia LG,ila nakushauri ununue iphone ipo sawa sana.
 
Back
Top Bottom