Cheap android phones unazoweza kununua

Cheap android phones unazoweza kununua

chief naomba unisaidie kuhusu tecno f7 na tecno n7 nataka kuchukua hiyo mizigo,

mkuu tecno f7 ni nzuri kuliko n7. sjaelewa ulikua unataka comparison zao kuzishindanisha au we unataka kununua zote unataka kujua kama zinadeserve.

ila kama f7 inazidi 400,000 ni bora kwenda kwenye clone ya s4 ambayo unaipata kwa bei hio na specs zinazofanana.

kwa maelezo zaidi ya f7 nenda thread hii utafaidika zaidi
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...7-phantom-a-simu-ya-ukweli-kwa-bei-nafuu.html

ila mpaka sasa sjajua specs halisi za hii simu naona uswahhili mwingi tu
 
asante sana chief nilitaka ninunue moja kati ya hizo, ila hiyo f7 bado sijaziona madukani,
 
mcheki waheed suday alisema anauza 500,000 sijui kama kazishusha kwenye hio post ndo alisema maneno hayo
 
Mmesahau Tecno!!!
Kama n3,Q1,n7,P3. ...
Nazo n nzuri tena kwa bei nafuu sema watu wameshajijengea kuwa simu za Tecno ni fek.
 
Mkuu Hi Thread Ilikua N yazaman!! bado Mwez M1 Tuu Inatimiza Mwaka!! kipind Hko Tecno Hzo Zlikua Hazjapata Umaarufu Kwa Hapa Nchini Kwetuuuu!!!
 
Hahaha mi niko naenya na HUAWEI ASCEND Y300 nilisha.waaga.samsung.kitambo (280,000/=)DUKANI
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1374586577699.jpg
    uploadfromtaptalk1374586577699.jpg
    39.6 KB · Views: 211
Kwa jamii yetu ya kitanzania uelewa wa android umekua mdogo sana na siku zote watu wanafikiria simu hizi ni za bei ghali nimeandika makala hii ya kuzichambua simu za android za bei rahisi.

Pia jamii yetu bado haijazipokea simu za touch screen ikiwemo mimi (msinione mshamba) kwa hiyo ntaanza kuelezea simu za android za bei rahisi zenye button(qwerty).

motorolla fire xt311
motorola-fire-dual-chip.jpg

perfomance: ram 256mb processor 600mhz
picha na video: camera 3.15 megapixel na secondary camera haina video inachukua 480p
special inaingia line 2
makadirio ya bei: kuanzia 180,000 mpaka 250,000

LG Optimus Pro C660
lg-optimus-pro.jpg

perfomance: storage 150 ram 256 processor 800 mhz
picha na video: camera ni 3.15 mp secondary camera hamna na video 480p
makadirio ya bei: ni 200,000 mpaka 300,000

samsung galaxy pro series
Hapa nimezigroup samsung nyngi kama
-Samsung Galaxy M Pro B7800
-Samsung Galaxy Y Pro B5510
-Samsung Galaxy Pro B7510
samsung-galaxy-y-pro-b5510.jpg

Ni simu ambazo zinakaribia kufanana na hizo hapo juu kasoro m pro ipo advanced kidogo bei zinarange 200,000 mpaka laki 3.

Baada ya kutoka preference yangu ya qwerty sasa tuje kwa wazee wa kugusa na kuslide (touch screen phones) wao pia wana cheap devices kama zifuatazo.

htc explorer (pico)
htc-explorer-ofic.jpg

perfomance:storage 90mb ram 512mb na processor 600mhz
picha na video: 3.15 megapixel haina secondary camera video ni 480p
makadirio ya bei: 200,000 mpaka 250,000

lg optimus net
lg-optimus-net.jpg

perfomance:storage 150mb ram 512mb na processor 800mhz
picha na video:3.15 megapixel no secondary video 480
makadirio ya bei: 200,000 hadi 300,000

samsung galaxy vidogo
samsung-galaxy-fit-s5670.jpg

Hapa najumuisha simu zifuatazo
-Samsung Galaxy Y Pro Duos
-Samsung Galaxy Fit S5670
Hio duo ni double line zote zinafanania na wenzao juu ila galaxy fit ina 5mp
Bei pia zinafanania

muhimu
-storage ni memory ya simu unaweza expand memory kwa kutumia memory card hadi 32gb
-simu zote hapo juu ni android Gingerbread 2.3 na kama ni froyo utaweza i upgrade
-naweza kua nimekosea sehemu nirekebishe ili niweze ku update thread

NATAKA HIO -Samsung Galaxy M Pro B7800 KAMA NI DUOS LAKINI 0686104236/0753104236
 
Salaam wakuu,
habari za siku nyingi kidogo? kwa kifupi ndugu zangu natafuta ka second hand device kakuniboost kwa shughuli zangu zakidigatali. simu yangu wakati wa kufungua mafunzo nilikusanya now tumerudishiwa hiyo crake kwenye kioo ni balaa. budget yangu ina range 60,000/=-90,000/=. oh, na OS iwe android hata 2.2 sio mbaya, shukrani.
 
Kwa jamii yetu ya kitanzania uelewa wa android umekua mdogo sana na siku zote watu wanafikiria simu hizi ni za bei ghali nimeandika makala hii ya kuzichambua simu za android za bei rahisi.

Pia jamii yetu bado haijazipokea simu za touch screen ikiwemo mimi (msinione mshamba) kwa hiyo ntaanza kuelezea simu za android za bei rahisi zenye button(qwerty).

motorolla fire xt311
motorola-fire-dual-chip.jpg

perfomance: ram 256mb processor 600mhz
picha na video: camera 3.15 megapixel na secondary camera haina video inachukua 480p
special inaingia line 2
makadirio ya bei: kuanzia 180,000 mpaka 250,000

LG Optimus Pro C660
lg-optimus-pro.jpg

perfomance: storage 150 ram 256 processor 800 mhz
picha na video: camera ni 3.15 mp secondary camera hamna na video 480p
makadirio ya bei: ni 200,000 mpaka 300,000

samsung galaxy pro series
Hapa nimezigroup samsung nyngi kama
-Samsung Galaxy M Pro B7800
-Samsung Galaxy Y Pro B5510
-Samsung Galaxy Pro B7510
samsung-galaxy-y-pro-b5510.jpg

Ni simu ambazo zinakaribia kufanana na hizo hapo juu kasoro m pro ipo advanced kidogo bei zinarange 200,000 mpaka laki 3.

Baada ya kutoka preference yangu ya qwerty sasa tuje kwa wazee wa kugusa na kuslide (touch screen phones) wao pia wana cheap devices kama zifuatazo.

htc explorer (pico)
htc-explorer-ofic.jpg

perfomance:storage 90mb ram 512mb na processor 600mhz
picha na video: 3.15 megapixel haina secondary camera video ni 480p
makadirio ya bei: 200,000 mpaka 250,000

lg optimus net
lg-optimus-net.jpg

perfomance:storage 150mb ram 512mb na processor 800mhz
picha na video:3.15 megapixel no secondary video 480
makadirio ya bei: 200,000 hadi 300,000

samsung galaxy vidogo
samsung-galaxy-fit-s5670.jpg

Hapa najumuisha simu zifuatazo
-Samsung Galaxy Y Pro Duos
-Samsung Galaxy Fit S5670
Hio duo ni double line zote zinafanania na wenzao juu ila galaxy fit ina 5mp
Bei pia zinafanania

muhimu
-storage ni memory ya simu unaweza expand memory kwa kutumia memory card hadi 32gb
-simu zote hapo juu ni android Gingerbread 2.3 na kama ni froyo utaweza i upgrade
-naweza kua nimekosea sehemu nirekebishe ili niweze ku update thread
Chief Mkwawa salam. Hebu naomba ufafanuzi wako. Hizi technolojia tangu ulipochambua hadi sasa makampuni yamefanya makubwa hasa kampuni yetu pendwa ya tecno.

Je unaweza tusaidia kuzijua simu za makampuni tofauti kwa kuzingatia maboresho yaliyofanyika hivi karibuni? Natamani elimu unayoitoa nikulipe pesa lkn uwezo sina, itoshe tu aksante yangu ninayoitoa kwa moyo wa dhati.

Wasalam
 
Unakosea iPad inatengenezwa na Apple tu. iPad ni kama Corolla, tablet ni kama gari. So iPad ni tablet, ila tablet sio lazima iwe iPad.
Yaani mnanifurahisha nyie? Nimemkumbuka dr. Mihanjo wa ufsm PL
 
Chief-Mkwawa uzi wako itapendeza kama utau upadate na simu za kipindi cha sasa.
Binafsi natafuta simu mpya. Natumia sana simu ktk mitandao ya kijamii, kubrowse, kusikiliza nyimbo,youtube, kupiga picha mbali mbali. Hivyo napenda nipate simu ya kukidhi hivyo vitu vyangu vya msingi tu, sina complication ktk simu. Nahitaji Ubora wa simu, betri na kamera nzuri na simu ambayo ipo upgradeable software yake nitafurahi sana. Nimepitia uzi wako na umetoa mchango mzuri sana ila naona kama uzi uko wa zamani, naomba wewe kama mtaalam wa haya mambo upate muda uu update wengine kama sisi tuweze faidika na mawazo yenu nyie wataalam.
Mimi natafuta simu, naomba msaada wako ktk huu uzi.
 
budget ni muhimu mkuu,
 
Nashukuru kwa kujibu, bajeti yangu ni laki nne.

mkuu ipo simu inaitwa motorola moto g5 plus, ni simu best kushinda zote kwa around budget hio, ila inazidi kidogo budget yako na inabidi uiagizie sijaziona bado bongo. kama una means za kuipata narecomend sana hii simu
motorola-moto-g5-plus-2.jpg

kwa simu zinazopatikana kirahisi hapa nchini, na kama unaweza kuhandle simu za mtaani basi ipo samsung galaxy note 4 hii pia nayo ni nzuri sana kwa hio budget na ndio flagship ya mwisho ya samsung ambayo ina tick box zote.

samsung-galaxy-note-4-1.jpg

kwa simu mpya zenye warranty hapa bongo choice nyingi zipo samsung na huawei kwa simu kama huawei GR5 na samsung galaxy j7,
 
Asante sana, Mungu akuzidishie kwa misaada unayotoa.
Nimeangalia specifications, nimeipenda sana Motorola moto G5 ila ktk forums naona watu wanailalamikia kuwa inafreeze mara kadhaa, overheat na charging issues. pia samsung galaxy J7 nayo nimeipenda. hii samsung naona kuna ya south afrika, vietnam na pakistan, ipi ni bora zaidi na inafuata ipi na ipi ni ya mwisho? Na kwenye version kuna J710F, J710FN, J710M, J710H, Tafadhari, ingawa nacheki kwenye mitandao ktk forums ila naomba na ushauri wako.
 
mkuu kuna moto g5 na moto g5 plus ni simu mbili tofauti, moto g5 ina snapdragon 430 ambayo ni ya kawaida tu wakati moto g5 plus yenyewe ina snapdragon 625 ambayo ndio soc nzuri kwa sasa kwenye efficiency na utunzaji chaji. sijui wewe umeangalia ipi.

kuhusu j7 epuka hio inayoishiwa na H yaani j700H au 710H hizo hazina 4G zinatumia tu 3G.

na hio j7 inayoishiwa na M pia sio yetu ina band za marekani,

J7 inayoishiwa na F ndio nzuri zaidi sababu ina 4G na band zake za 4G ndio zinatumika sana huku kwetu yaaani band 800 na 1800.
 
Back
Top Bottom