Cheap android phones unazoweza kununua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cheap android phones unazoweza kununua

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief-Mkwawa, Aug 17, 2012.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,816
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  Kwa jamii yetu ya kitanzania uelewa wa android umekua mdogo sana na siku zote watu wanafikiria simu hizi ni za bei ghali nimeandika makala hii ya kuzichambua simu za android za bei rahisi.

  Pia jamii yetu bado haijazipokea simu za touch screen ikiwemo mimi (msinione mshamba) kwa hiyo ntaanza kuelezea simu za android za bei rahisi zenye button(qwerty).

  motorolla fire xt311
  [​IMG]
  perfomance: ram 256mb processor 600mhz
  picha na video: camera 3.15 megapixel na secondary camera haina video inachukua 480p
  special inaingia line 2
  makadirio ya bei: kuanzia 180,000 mpaka 250,000

  LG Optimus Pro C660
  [​IMG]
  perfomance: storage 150 ram 256 processor 800 mhz
  picha na video: camera ni 3.15 mp secondary camera hamna na video 480p
  makadirio ya bei: ni 200,000 mpaka 300,000

  samsung galaxy pro series
  Hapa nimezigroup samsung nyngi kama
  -Samsung Galaxy M Pro B7800
  -Samsung Galaxy Y Pro B5510
  -Samsung Galaxy Pro B7510
  [​IMG]
  Ni simu ambazo zinakaribia kufanana na hizo hapo juu kasoro m pro ipo advanced kidogo bei zinarange 200,000 mpaka laki 3.

  Baada ya kutoka preference yangu ya qwerty sasa tuje kwa wazee wa kugusa na kuslide (touch screen phones) wao pia wana cheap devices kama zifuatazo.

  htc explorer (pico)
  [​IMG]
  perfomance:storage 90mb ram 512mb na processor 600mhz
  picha na video: 3.15 megapixel haina secondary camera video ni 480p
  makadirio ya bei: 200,000 mpaka 250,000

  lg optimus net
  [​IMG]
  perfomance:storage 150mb ram 512mb na processor 800mhz
  picha na video:3.15 megapixel no secondary video 480
  makadirio ya bei: 200,000 hadi 300,000

  samsung galaxy vidogo
  [​IMG]
  Hapa najumuisha simu zifuatazo
  -Samsung Galaxy Y Pro Duos
  -Samsung Galaxy Fit S5670
  Hio duo ni double line zote zinafanania na wenzao juu ila galaxy fit ina 5mp
  Bei pia zinafanania

  muhimu
  -storage ni memory ya simu unaweza expand memory kwa kutumia memory card hadi 32gb
  -simu zote hapo juu ni android Gingerbread 2.3 na kama ni froyo utaweza i upgrade
  -naweza kua nimekosea sehemu nirekebishe ili niweze ku update thread
   
 2. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Thanks for your useful post, i even looking Android OS mobile phone
   
 3. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Tatizo wafanyabiashara wa Tanzania wanapenda super normal profit wanapenda ku upgrade price, kusema kweli vitu vya technology kama simu, tablet, ps3 na vinginevyo ni bei reasonable kweli nchi za watu hata uki google price zake kila mtu ana afford tatizo hadi uzifate huko dunian asia, europe and america kwenyewe ndo utapata kwa bai nzuri as unanua kwenye manufactures stores eg sony store, samsung shops etc, maana hapa bongo zikija bei wanauza za juu as wanajua hatujui market price ikoje ukikomaa sana wanadai kodi na gharama za usafirishaj ni kubwa kumbe uongo mtupu, ni ufisad tu wa wenye maduka
   
 4. j

  john hotsam da1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  safi mkuu next time android tablets ikiwezekana
   
 5. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Nami sijaelewa kidogo mkuu hapa nijuze....kwani Android ni nini?? Maana mimi nilikuwa na cm kabia imeandikwa Android, sasa ukiniambia kuna simu za android alafu unanitajia samsung, LG n.k nashindwa kukusoma....ufafanuzi tafadhali
   
 6. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Android ni operating system ya simu na tablets. imetengenezwa na Google na hutumiwa na kampuni nyingi za simu ikiwemo Samsung, Sony, Lg na HTC
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,816
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  Kwenye ulimwengu wa sasa simu zinatumia operating system kama vile ilivyo computer.

  Android ni operating system (mfano kama computer window). Hii android ni ya simu na inatumiwa na makampun mbali mbali ya simu kama samsung, motorola, lg, sony ericson, micromax, huawei, ideos .

  Ni operating system dada wa linux wote wakitengenezwa na google inc

  Pia android inatumiwa na tablets.

  Tofauti na zamani software ya nokia ukieka kwenye samsung inakataa, sasa hivi kua na operating system (os) moja na simu nyingi inazotumia hio os kunarahisisha kazi. Hapo ina maana sababu simu zote hapo juu zinatumia android kama kutakua na game la android au software flan itaingia simu zote haijalishi ni samsung wala lg
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,816
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  Mitandao ya simu imefikia wakati sasa waanze kuuza simu za mikataba. Sasa hivi watanzania wengi wapo aware na simu na wanatamani wawe nazo tatizo hawana hela ya kwa pamoja ya kununua.

  Nakubaliana na wewe simu zinauzwa bei ghali na hizo price nlizoweka ni za kugoogle nimeeka tu mtu awe aware ili akitajiwa bei ajue kua ni over price au ni sawa
   
 9. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwa hyo kama kuna Game kwenye LG unaweza ukamrushia m2 mwenye Samsung (via bluetooth) na likaenda na akacheza bila tatzo?
   
 10. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Nimewahi kuwaandikia Vodacom ya Tanzania kuhusu ushauri huo. Siju ni kitu gani kinachowazuwia wasitoe simu bure kwa wateja (kwa simu tuseme yenye thamani ya laki 3), lakini wakawawekea kima cha chini cha matumizi yao ya mwezi, tuseme shs. 20,000 kwa muda wa miezi 18. (watapata shs 360,000 na pengine zaidi ikiwa mteja atatumia zaidi ya 20 elfu kwa mwezi).
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  ilimradi iwe ya android os
   
 12. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,816
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  Zaman walikua nayo hio huduma nakumbuka nokia 6070 post paid ilikua sh 24,000 wanakupa sms na dk 100 kwa mwezi. Ila sasa hv wameacha kabisaa
   
 13. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Androids ni operating system. Kama ilivyo kwa symbian, ios, mac windows, palm, blackbery. Ubuntu. Ila ubuntu, mac sana n kwenye pc. Ila windows ipo kwenye cmu na pc pia.....
   
 14. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Pia motorola, huawei
   
 15. Mars Rover

  Mars Rover JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 334
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  That's great!
  Lakini kuna Huawei Ideos U8150 Froyo 2.2, Ideos Y100 Gingerbread 2.3, Galaxy Pocket Gingerbread 2.3 zote ni Tshs 150,000. Ni kali ile mbaya. tembelea www.gsmarena.com kwa phone reviews Za ukweli.
   
 16. S

  Soki JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwanini unasisitiza simu ambazo OS yake ni android. Mbona ume exclude iphone na zingine zisizo za android?
   
 17. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Sasa ushindani wa biashara za sasa hautaki hivyo.
  Mswahili ukimwambia tu simu fulani ya touch screen ni bure, wala haangalii nyuma anafunga mkataba.
   
 18. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,816
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  Kama ni iphone hamna ya bei rahisi kaka yani iphone 3 ndio rahisi na specification ya kisasa lakini urahisi wake ukienda dukan still zinaanzia laki 3.

  Kuhusu os nyengine kama ni nokia nina post zaidi ya 10 za nokia na kuhusu bb za bei za chini zote hazina 3g
   
 19. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,119
  Likes Received: 1,752
  Trophy Points: 280
  Thanks mkuu Mkwawa, nimefunguka sana kuhusu haya maphone! Thats why I love JF ni darasa tosha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. S

  Soki JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Naomba hizo link kaka nipitie pitie nijifunze maana inaonekana una uzoefu katika mobile phone!Ni ukweli kabisa iphone wanauza ghali sana. Swali langu ni je, ni simu gani ambayo ina specs zinazofanana fanana na Iphone 4s ya 16gb? Na hiyo simu nimkama bei gani kwa Dar?
   
Loading...