Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Wakuu,
CHAUMMA inapokea wanachama wapya wakati huu kutoka G55
Catherine Ruge, Mrema na wengine baada ya kupewa kadi ya uanachama wa CHAUMMA na kuwa wanachama rasmi wa chama hicho, waandishi wa habari wametoka nje kuwapisha CHAUMMA kufanya kikao cha ndani.