Chatu amshinda Mamba nguvu Australia

mifupa binadamu hata sisi tunayo na anatumezaga!huyu chatu naye njaa kali ilikuwa inamsumbua,nahisi hata angekuwapo chatu mwenzake mdogo angemmeza tu!

Sasa mkuu wadhani magamba ya mamba ugumu wake wazidi mifupa? la hasha hebu fikiria tena

Hilo la njaa kali mmmh ni ngumu sisi kujua maana wanyama kama chatu hula mlo mmoja kwa mwaka au hata miezi sita...
 
Alipomaliza kumla mamba akaenda Zake kumbe cku hzi chatu akimeza mnyama huwa anatembea au cku hzi chatu amekuwa anakonda? Sheme on u beliaver

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Utakuwa na elimu ndogo sana ya hawa viumbe mkuu, usipende sana kuamini redio mbao...

Kwa nini ashindwe kuondoka?
 
...huwa na nyongo yenye sumu kali kiasi kwamba akifia sehemu inabidi azikwe mbali,sasa je akiliwa na nyongo yake haina madhara kwa mlaji namaanisha huyo nyoka? au naye atakufa baadaye.
Labda sumu kali kwa baadhi ya wanyama wengine ila si Nyoka...
 
Kuna tofauti kati ya Crocodile and Aligator....Aligator huwa ni wadogo kimaumbile lakini wana shape similar na Crocodile........kwa jinsi nilivyomuona huyo aliyeliwa ni grown up Aligator......na sio Crocodile......Anaconda or Python mara nyingi huwaonea sana hawa Aligators, Kobe, Kwelea Kwelea and the likes.......ila inapokuja kupambana na Crocodile inategemea na size of either one + timing + environment/location......
 
Huyo atakua mamba wa kizungu, hebu chatu huyo aje hapa kwetu Kenya na tutamualika karamu pale Tana river akutane na mibabe wa jamii ya mamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…