Mfanyabiashara na mkazi wa Bunju A, Laurence Kweka (48), amerejeshwa rumande baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, akikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe, Jane Urassa.
Kweka amefikishwa mahakamani hapo leo Alhamisi, Oktoba 15, 2026, na kusomewa shtaka moja la mauaji katika...