Chato tunaomba tujengewe Chuo Kikuu

Chato tunaomba tujengewe Chuo Kikuu

Kwa taarifa tu,, tayari mpango wa kuwa na vyuo vikuu (sio chuo maana sio kimoja) upo na tayari upembuzi yakinifu umeshafanyika

Chato kutajengwa vyuo vikuu viwili, chuo kikuu cha Dar es Salaam tawi la Chato na Chuo kikuu cha Mhimbili tawi la Chato
 
Na bunge nashauri lijengwe hapo Chato.
 
Kwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.

Kwa hayo yote yaliahidiwa kipindi cha kampeni ndani ya ilani ya ccm sio mbaya ikatekelezwa hapa chato kwa kuwa yote ni Tanzania na maendeleo kwa wote na vizazi vijavyo.

Natumaini ombi litafanyiwa kazi!
Sio chuo kikuu tu, mjengewe mpaka london bridge
 
Kisipojengwa awamu hii tusahau kupata chuo kikuu cha serikali kanda hii walivyopania kutukomoa sisi wa huku.
Usiwe na wasiwasi, Bashite anachukua nchi ili kuendeleza maendeleo ya lake zone.
 
Mimi napendekeza ichongwe mfereji wa bahari Chato ili ijengwe bandari kubwa kabisa . Haya mambo yanawezekan tuu
Naunga mkonyo hoja....Chato iwe jiji kama karifonyia...mi [emoji870] tena
 
Kwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.

Kwa hayo yote yaliahidiwa kipindi cha kampeni ndani ya ilani ya ccm sio mbaya ikatekelezwa hapa chato kwa kuwa yote ni Tanzania na maendeleo kwa wote na vizazi vijavyo.

Natumaini ombi litafanyiwa kazi!
Hilo tu mmepata kaka wala usihofu tena inatakiwa kijengwe chuo kikuu kikubwa kweli kitakachpokea wanafunzi 10000 ili kustimulate jiji la chatto unajua wanafunzi huwa wanastimulate pahala popote pale
 
Kwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.

Kwa hayo yote yaliahidiwa kipindi cha kampeni ndani ya ilani ya ccm sio mbaya ikatekelezwa hapa chato kwa kuwa yote ni Tanzania na maendeleo kwa wote na vizazi vijavyo.

Natumaini ombi litafanyiwa kazi!
Hakuna matata. Hata mbingu na ahera zijengwe.
 
Zao la kahawa lipandwe Chato

Wasi wasi wangu ule msitu unao takiwa kufanana na Mufindi sijui jiografia ilizingatiwa usawa toka bahari
 
Back
Top Bottom