Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,630
Mbona unateseka we mzee?Kwa ccm inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani,
Kwa hayo yote yaliahidiwa kipindi cha kampeni ndani ya ilani ya ccm sio mbaya ikatekelezwa hapa chato kwa kua yote ni Tanzania na maendeleo kwa wote na vizazi vijavyo,
Natumaini ombi litafanyiwa kazi!