Mnataka ipi SGR au MGR ?Tunaomba na RELI ijengwe Chato
Mimi napendekezaMimi napendekeza ichongwe mfereji wa bahari Chato ili ijengwe bandari kubwa kabisa . Haya mambo yanawezekan tuu
Na ole wake ambaye hataiabudu hiyo sanamu. Atatumbuliwa uraia na kutupwa kwenye msitu wa Simba waliohamishiwa Chattle.Pia tujenge na sanamu ya Jiwe
😛m
😇🤣😂
Chuo Kikuu kinakuja kitakua attached na Hospitali ya rufaa ya Kanda.Kwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.
Kwa hayo yote yaliahidiwa kipindi cha kampeni ndani ya ilani ya ccm sio mbaya ikatekelezwa hapa chato kwa kuwa yote ni Tanzania na maendeleo kwa wote na vizazi vijavyo.
Natumaini ombi litafanyiwa kazi!
Huyu bibi ameiga kwa bosi wakeNi wewe tu!View attachment 1679997
Msukuma mmoja anafanya wasukuma wote waonekana washamba!!Kwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.
Kwa hayo yote yaliahidiwa kipindi cha kampeni ndani ya ilani ya ccm sio mbaya ikatekelezwa hapa chato kwa kuwa yote ni Tanzania na maendeleo kwa wote na vizazi vijavyo.
Natumaini ombi litafanyiwa kazi!
Waambie wavihamishe UDOM na UDSM,
Kwani idani ya wakazi wa CHATO wako wangapi?
United Republic of people of Chatoh!!
Mbona unateseka we mzee?
Itafahamika tu yote ni Tanzania capital city dodoma!Ahahahaaaa [emoji23][emoji1787][emoji85]. kipara kipya . Jengeni Gbadolite mpya , ulimbukeni at its best. Geita ina wilaya kama Nyanghwale, Bukombe zina nini mpaka Chato ipewe vyote hivyo ?!
Odhis *
Kwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.
Kwa hayo yote yaliahidiwa kipindi cha kampeni ndani ya ilani ya ccm sio mbaya ikatekelezwa hapa chato kwa kuwa yote ni Tanzania na maendeleo kwa wote na vizazi vijavyo.
Natumaini ombi litafanyiwa kazi!
Vijengwe vyuo vikuu hata 10 Chato. Hakuna shida.Ni jambo jema!
Naomab nidm basi😀😀😀Hakika! sisi wananchi wa pande nyingine tunaunga mkono hoja! Chato iko Tanzania
😂😂, Kwa unafiki huo nahis umetoka toilet bila kuchamba unaiwaza chatoo tuu, toroka ujee😋😋Kwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.