Chato tunaomba tujengewe Chuo Kikuu

Chato tunaomba tujengewe Chuo Kikuu

Kwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.

Kwa hayo yote yaliahidiwa kipindi cha kampeni ndani ya ilani ya ccm sio mbaya ikatekelezwa hapa chato kwa kuwa yote ni Tanzania na maendeleo kwa wote na vizazi vijavyo.

Natumaini ombi litafanyiwa kazi!
Na chuo kiitwe magufuli na kifundishe kujiaminna kujiamulia bila kusahau kutumbua majipu..iwe koz maalum
 
Ujenzi wa chuo cha wanyonge umefikia wap wakuu
 
Kwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.

Kwa hayo yote yaliahidiwa kipindi cha kampeni ndani ya ilani ya ccm sio mbaya ikatekelezwa hapa chato kwa kuwa yote ni Tanzania na maendeleo kwa wote na vizazi vijavyo.

Natumaini ombi litafanyiwa kazi!
Msubiri mpaka Magufuli arudi tena ikulu.
 
Kwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.

Kwa hayo yote yaliahidiwa kipindi cha kampeni ndani ya ilani ya ccm sio mbaya ikatekelezwa hapa chato kwa kuwa yote ni Tanzania na maendeleo kwa wote na vizazi vijavyo.

Natumaini ombi litafanyiwa kazi!
Subirini tutawajengea.
 
Thread Started: 17-January-2021
Ndoto Kupotea: 17-March-2021.
 
Mwenye nyimbo ya captain komba=mtaisoma namba

Afanye kuiweka hapa
 
Back
Top Bottom