Watakuja watu wa kitabu Cha mnyaanzi wanaosema kitabu hicho "kilichoshushwa"๐ ambacho hutakiwi kusoma kitu kingine na ukokokariri chote unakuwa na PhD za masomo yote watasema CHATGPT Ina aya yake ndani ya kitabu hicho Cha ilimScience ni halisi kuliko dini
Mimi juzi nilimkuta binti yangu anachat na chatgtp anamuuliza why is my kom so angry sometimes,AI inakuja kuharibu akili za kila mmoja, majuzi alikuja dogo wa Darasa la 5 na homework kaniomba simu amuulize maswali ChatGPT ๐คฃ
Weka mbsli ba watoto mtoto wako ame mjuaje? Guys msiwape watoto simuMimi juzi nilimkuta binti yangu anachat na chatgtp anamuuliza why is my kom so angry sometimes,
Nilisoma baadhi ya majibu, jibu moja chatgtpt akamwambia may be your mom is on her period
Aliniomba simu ampigie classmate wake, alikua amesahau kitabu shuleni kwa hiyo alikua anawasiliana na wenzake wampigie picha page za homework, sasa nikamsema sana nikataka kumzibua kwamba kwa nini amesahau kitabu shuleni, then nikapa simu, ndio nikakuta anamuuliza chatgtp kwa nini mama ana hasira sanaWeka mbsli ba watoto mtoto wako ame mjuaje? Guys msiwape watoto simu
๐นNishasahau kusoma now ๐
Mtoto simu yako hatakiwi kugusa mimi sitaki mazoea na mtoto kwenye simu simu ina mambo mengi mtu ana weza kosea tuma ujumbe ukaja kwangu bahati mbaya mtoto akauona aka beba kama ulivyo simu sio mzuriAliniomba simu ampigie classmate wake, alikua amesahau kitabu shuleni kwa hiyo alikua anawasiliana na wenzake wampigie picha page za homework, sasa nikamsema sana nikataka kumzibua kwamba kwa nini amesahau kitabu shuleni, then nikapa simu, ndio nikakuta anamuuliza chatgtp kwa nini mama ana hasira sana
Siku nyingine nikakuta anamuuliza eti niende shule gani form one?
Ase nimejua kucheka sana ๐๐๐ mbona yupo hot sana uyo โ๐๐๐น
Ni kweli,ila mimi sipendi sana kuficha simu yangu, cha msingi ni kuwafundisha kuwa na adabu na mipaka, na huwa siweki simu yangu passowrd, kuna wakati nawaagiza kununua Umeme,kulipa bills, kunrewuest bolt, na vitu vingine vya msingi, lengo ni kuhakikisha hata nikiwa nimebanwa au nikiwa sipo wanaweza kufanya mambo ya msingi kwenye simu maana kuna leo na keshoMtoto simu yako hatakiwi kugusa mimi sitaki mazoea na mtoto kwenye simu simu ina mambo mengi mtu ana weza kosea tuma ujumbe ukaja kwangu bahati mbaya mtoto akauona aka beba kama ulivyo simu sio mzuri
Ohh sawaNi kweli,ila mimi sipendi sana kuficha simu yangu, cha msingi ni kuwafundisha kuwa na adabu na mipaka, na huwa siweki simu yangu passowrd, kuna wakati nawaagiza kununua Umeme,kulipa bills, kunrewuest bolt, na vitu vingine vya msingi, lengo ni kuhakikisha hata nikiwa nimebanwa au nikiwa sipo wanaweza kufanya mambo ya msingi kwenye simu maana kuna leo na kesho
Nimetoka kumchamba ananiita shangazi ๐นAse nimejua kucheka sana ๐๐๐ mbona yupo hot sana uyo โ๐๐
๐๐ una chat na Uncle T ๐๐Nimetoka kumchamba ananiita shangazi ๐น
Hivi chat ananitafuta nini mimi lakini? ๐คฃ
Kabisaaa ๐น๐น๐๐ una chat na Uncle T ๐๐
Et mange wa wifi ๐Limemalizia kuniita mimi mmbea wa ki mataifa bila umbea wangu kunapoa ๐น๐น๐น
Kesi yangu na chat ishakua nzito..!!
Hamna chat gpt hapo wabongo washajiongeza nรค chat gpt za manzese
Kweli kabisa mkuu,wosia mzuri umetoa.Haha! hilo dude unavyolizowesha kuchati nalo ndivyo linavyokupeleka liwekee mipaka kama hautaki likuchatishe katika namna hiyo!, lichukulie tu kama dude la kukuletea taarifa na sio kama kuchati na rafiki yako!, ukiweza kulitumia vyema hata hautaweza kujibiwa hivyo tena ukizubaa linakushinda hata utashi muda mwengine huboronga nakutoa taarifa zisizo!..
Mimi nililikanya na nachati nalo nakuliuza maswali na linajibu kwa adabu!, hilo umelizoesha wewe utakavyolipeleka linakuja hivyohivyo isipokuwa halitukani japo muda mwengine linamatani na linatunza kumbukumbu ya chat zako linakusoma!!.
ukilikataza lisiandike hivyo linaacha..
Wabongo wenzangu tumieni hilo dude kwamanufaa kama unaona hauwezi achana nalo!..๐
Alooo sio poa ๐Lamomy Evelyn Salt kitalembwa huyu chatgpt anajua mpaka catress ๐๐๐
View attachment 3407319