Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,457
- 65,765
Nimeshangazwa na hili jibu lake kabisa
Dah
Dah
Science ni halisi kuliko dini
Dunia ipo kasi
Kwa akili ya kawaida hivi unaweza mjibu mtu ivyo 😂😂Science ni halisi kuliko dini
Inakimbia mnooDunia ipo kasi
Acha kabisa dah ana majibu falani hivi ya kimbagalambagalakwenye hizi ai sasa ndo watakuja kutubrainwash
😂Ni kweli mavi ya kale hayanuki, waswahili husema 😎
Uka mpa?AI inakuja kuharibu akili za kila mmoja, majuzi alikuja dogo wa Darasa la 5 na homework kaniomba simu amuulize maswali ChatGPT 🤣
Sure broo kwa majibu yake 😂Hio itakua chat gpt ya tandale
Ulimbukeni una kusumbuaSiwezi kutumia chatGPT Kiswahili.never na sijawahi
Ilo jibu lime niacha mdomo wazi 😂Hana shida na sura ya yako
Unavyo taka ndivyo anavyo takaAnakupokea kadiri unavokuja
Haya majibu yameanza hivi karibuni mimi nilishangaa Jana ananiambia "kaka usijali"Acha kabisa dah ana majibu falani hivi ya kimbagalambagala