Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Mbona sikuoni ukipiga kampeni??ukweli mimi binafsi nakukubali sana japo nikiulizwa why siwezi kuwa na jibu. Nilipoingia humu nimeona wenzako wakipost thread za kujikampenia, nikapitisha macho kuona kama na wewe umejaribu kujitangaza ila wapii......basi jitokeze umwage sera mama!!!! ukweli mie nakukubali tu kiroho safi, naomba na wengine pia mumpigie kura huyu mrembo mchangamfu
Inawezekana anapga kampeni za kmyakmya. Si umeona amefika hadi fainali?
mie akishinda huyu charming gal nitakuwa na zawadi binafsi ya kumpongeza, ntajazia hapo promota wa miss chitchat alipoishia
ntakukampeinia hadi nihakikishe unashinda, we acha tu,ikishindikana hata jukwaa la siasa tutaweka kampeni teh teh
anayetetea taji ni Madame B. charminglady alikuwa 1st runner up.
Inawezekana anapga kampeni za kmyakmya. Si umeona amefika hadi fainali?
mwenye kisu kikali ndo hula nyama,mi nasubiri mlungula tu ndo nipige kura.
ngoja nikupe simu uongee naye,anasikitika miaka yote aliishi na wewe ulikuwa una fire blanks!How is your wife doing? And when is she due?
ngoja nikupe simu uongee naye,anasikitika miaka yote aliishi na wewe ulikuwa una fire blanks!
anayetetea taji ni Madame B. charminglady alikuwa 1st runner up.
wewe Baba V acha visa hata akiwa anakula udongo wa pemba mwanangu charminglady lazima ashinde hili taji, unakuja mdogo mdogo na kampeni kwa Arabela, ha ha haaaa!
Kweli Baba V kazi kuipata hiyo mimba!measkron ,kulea mimba si kazi ndogo ati, imagine charminglady na katumbo kake ataweza ule mwendo wa CATWALK,? Muacheni apumzike bana,kura mpigie Arabela