charminglady njoo uwe wangu wa milele

Penzi halikomeshwi kwa kujifungua,upendo katu hauna uzio
kunikataa kwako uhai wangu wauua,nakufa kwa kukosa nionee huruma mwenzio
hakika moyo wangu waugua,kusubiri penzi lako ndio kizuio
CL moyo wako fungua,unipende bila kujali visingizio

ntatuma wajumbe, St. Paka Mweusi kiongozi
kwa Madame B utakiona kimbembe,kwani hata Arabela kanibebea bendera ya mapenzi
wote hao wanakuja kama wajumbe,wengine siwataji usije wapiga makwenzi
ninakupenda sana ndio wao ujumbe,ukiupokea jibu hima kimapenzi
 
Last edited by a moderator:
CL saa ikifika,utaniletea penzi
ulipo haujafika,wewe ni wangu kipenzi
moyoni mwangu umefika,nachotaka kwako ni penzi
kaa ukifahamu,wewe kwangu ni mshipa wa fahamu

nalia kila mara,nalilia lako penzi
mlimbwende uliyeimara,kwangu ndio tamu ya penzi
nitakuja kila mara,mpaka utakapo nikabizi penzi
kaa ukifahamu,wewe kwangu ni mshipa wa fahamu
 
Penzi halikomeshwi kwa kujifungua,upendo katu hauna uzio
kunikataa kwako uhai wangu wauua,nakufa kwa kukosa nionee huruma mwenzio
hakika moyo wangu waugua,kusubiri penzi lako ndio kizuio
CL moyo wako fungua,unipende bila kujali visingizio

ntatuma wajumbe, St. Paka Mweusi kiongozi
kwa Madame B utakiona kimbembe,kwani hata Arabela kanibebea bendera ya mapenzi
wote hao wanakuja kama wajumbe,wengine siwataji usije wapiga makwenzi
ninakupenda sana ndio wao ujumbe,ukiupokea jibu hima kimapenzi

cl my dia mbeba bendera nimefika
 
Last edited by a moderator:
tuliona kauzibe zimezidi, tukafunga kimyakimya. tulikwenda kwa mchungaji wa JRC pale kirumba tukiwa mimi, my huz @C6, bestman Chimbuvu na bestlady wangu tu. tukamaliza mambo!

ukipita kama hivi,busu nirushie
ukiweza nishike kihivi,kisha nikumbatie
achana na huyo mvuvi,vyake vitu mrudishie
njoo mtoto hevi,mapenzi adimu nikupatie
 
Last edited by a moderator:
Cl nikizitaja sifa zako,hakika siwezi maliza.
moja nywele zako,kiuno cha nimaliza.
sisahau mbwembwe zako,hasa ukiwa unamaliza.
niruhusu nishike japo shanga zako,ili kiu nipunguze kwani siwezi maliza.
hamishia kwangu fikra zako,umalize stress kwan za nimaliza.
 
cl my dia mbeba bendera nimefika

yaseme niliyokutuma Arabela ,usibakize hata moja.
ukiona kalala,gonga hodi zaid ya moja
akija na uchovu wa kulala,mwimbie single moja
najua hana hila,atawapoke kwa umoja.
ukiona mekubali kula,nipigie nije mara moja.
yaseme niliyokutuma Arabela,usibakize hata moja
 
usijali wns ntafikisha hadi nukta
 
Last edited by a moderator:
Hakika nisingekuwa naheshimiana na c6 na cl ningekupa tafu lakini hapo inabidi ukubali matokeo kama ruttashobolwa alivyokubali nilivyompora Madame B.
 
Hakika nisingekuwa naheshimiana na c6 na cl ningekupa tafu lakini hapo inabidi ukubali matokeo kama ruttashobolwa alivyokubali nilivyompora mabame b.

he?! Usiniambie eti unamliki Madame B ,emu acha utani bwana unasema kweli?..wewe unachezea mwanasheria.Katangaze rasmi uone cha moto
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom