charminglady kafiwa na bibi yake!

charminglady kafiwa na bibi yake!

pole sana mpendwa! Mungu akufariji sana!
 
hali zenu, nasikitika kuwataarifu kuwa nimefiwa na bibi yangu. nipo safarin kuelekea msiban. please prayer for me guys. . . .

Poleni sana na Mwenyezi Mungu awape ni faraja, awatunze katika kipindi hiki.
Granny is at peace, with the angels! Just thank the Lord for his work!
R.I.P Bibi!
 
hali zenu, nasikitika kuwataarifu kuwa nimefiwa na bibi yangu. nipo safarin kuelekea msiban. please prayer for me guys. . . .

Pole sana jamani Mungu akitangulie, bibi alale mahali pema peponi amen
 
Pole sana Charminglady kwa msiba, Mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana mdada my her soul rest in peace amen
 
Pole sana wa kwetu! Mungu awajalie roho ya ushujaa katika kipindi hichi cha msiba!
 
Pole sana binti Mungu akupe nguvu kwenye hiki kipindi, RIP bibi
 
hali zenu, nasikitika kuwataarifu kuwa nimefiwa na bibi yangu. nipo safarin kuelekea msiban. please prayer for me guys. . . .

Pole mpendwa charminglady.......

Bwana ametoa
Bwana ametwaa
Jina la bwana lihimidiwe

RIP bibi yetu!
 
Last edited by a moderator:
Most devastating moments in life, under this sun!
You know what, God created low moments in life just to remind us of his mighty powers and greatness! In times like this, u will remember or just mention his glorious name, no way!
Pole rafiki, tuko pamoja katika tukio hili kuu la kuondokewa na bibi yetu tuliyempenda sana.
Kilichobaki kwetu kwa sasa ni kusema AMEEN!
RIP BIBI.
 
asanteni sana wapendwa kwa sala zenu. nimefika salama thou nimechelewa mazish kidogo.
 
Pole sana [MENTION]charminglady[/MENTION], M/mungu amlaze mahali pema peponi bibi yetu,

Ameeeeeeen
 
Back
Top Bottom