Charminglady,I hate you,,,,,,,,,,

All the best Wakati ndio sasa (Time is now)...............
 
Katavi aliniachia hiyo dili ya radi kama kazi njoo kwenye meza ya makubaliano.

hebu ntumie quotation fasta kabla jogoo hajawika. . .
zubedayo_mchuzi radi ndo kiboko tena nataka km 3 hivi ili nimsambaratishe asibaki hta jivu!
 
duh, mtu huyu ana limoyo ligumu ka nini lolest. . . Katavi wapi wewe, hebu nifanyie mpango wa kupatd walau radi 2 make nshachoka mpaka maini!!!!!
kosa lako ulimpa msosi uliopikiwa kwa maji ya mochwale,sijui wns utambeba na mbeleko gani,he is smitten!
 
Last edited by a moderator:
nimestuka jaman nimeshtuka uuwiiii yan nkasema huyu mtu kapatwa na nin tena amaa kumbe kichwa tuu cha habari
 
shost jana ulikuwa wapi, tumewatafuta kweli we na mmeo jg hampatikani. cjui mlijificha wapi. tulikuwa na Erickb52a. Elizabeth Dominic na mie. ninyi tu ndo mlimiss yan ilikuwa full shangwe!!?!!

Si kweli network ilikua fresh na hatukuzima simu wala kujificha labda ilikua special kwenu mama next time tuu kitahappen mbona tuombe uzima
 
Last edited by a moderator:
Si kweli network ilikua fresh na hatukuzima simu wala kujificha labda ilikua special kwenu mama next time tuu kitahappen mbona tuombe uzima

poa mama but tulimkol ur hubby akasema yupo busy, hebu nidondoshee prime minister ya mchina wako. . .
 
Back
Top Bottom