sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Hapa shem, mbona mi sioni hata kauli moja , ifananayo na kutoka kumoyo? Naona unafik mtuppu!
Mh!!! shemeji kwema huko uliko kweli? Sijakuelewa mwenzio!
Hapa shem, mbona mi sioni hata kauli moja , ifananayo na kutoka kumoyo? Naona unafik mtuppu!
wakati ndio sasa khaaza uzi bhaaba
kule kwetu abhakongo wanasema solola bien! wakati ndio sasa tombokaaaaaa!
sio wivu sweetlady , kupendwa ndio huku! Lol..
Pale huwezi kwenda na sweetlady! Lol..
Utajikuta unamwacha solemba au?
utajikuta anakuacha mwenyewe maana hayo "masaburi" yalivyomwagwa hapo, utabaki macho miamia na kujikuta umeachwa!