Maskini ama kweli mwalimu wako wa darasani alikuwa na kaxi ila ntakufundisha narudi kulekule kwenye makongamano utaelewa tu huko kwenye kongamano Wakristo wanasema
1.Qur an ni kitabu cha shetani
2. Muhammed sio mtume.
3. Uislamu umeenezwa kwa upanga
4. Mengine si yasemi
Note: Hakuna muislamu katika majadiliano hayo anae anzisha vurugu wala kusema anavunjiwa heshima yake ijapokuwa kitabu wanachotumia wakristo na waislamu tofauti.
Na ndomana nakuona mgumu wa kuelewa kwa sababu unaona hapo ndo kwenye point yako ijapokuwa watu wapo kwenye majukwaa kwa makubaliano ya kupeana chalenge na kama ukisema yesu kuitwa si Mungu kwako ni kosa na mm ntasema qur an kuitwa kitabu cha shetani ni kosa. Na ukisema Issa kuitwa yesu ni kosa na mm ntakwambia Muhammad kuitwa si mtume ila ni mtu wakawaida tu ni kosa. Nakukumbusha tena yale ni majadiliano kwenye majukwaa na kila mtu anasema navojaaliwa kuhusu dini ya mwenzie na wote wanatumia qur an na biblia kukosoana.
Sitoandika tena kwasababu unaongea kitu ambacho nishaongea.
Huna haki ya kumdhihaki Mtume Muhammad nje Ya majadiliano ukajikalia tu ukamchora Muhammad katuni ww inakuhusu nn mpaka umchore mhalifu ww ninani mbona hukumchora yesu km muhalifu na kuwaonyesha umma kwenye media
hata vikundi vyote vya kigaidi ni vya kiislamu.