Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

Status
Not open for further replies.
View attachment 219675
hii picha ndo inafanya watu wachome makanisa,tena naamini kabisa hata hao wachomaji hawajaiona hata kuiona,ila wameambiwa tu,wachoraji wenyewe wapagani,halafu makanisa eti yanachomwa.wapi na wapi?
Ndio iko hivyo mkuu,hawa watu akili zao hazina tofauti na watu walioishi kwenye mediaval age/period...mfano mdogo tu hapa kwetu kuna mwaka fulani kule Mbagala eti zee zima likapelekea habari kwa waislamu wenzake kuwa kuna mtoto jirani kakojolea kitabu chao wanachokiamini,basi ikazuka mijitu isiyo na ufahamu hata kidogo ikaanzisha vurugu wakavamia kanisa kule mbagala,wakaiba mikate na kunywa divai,wakaiba vinanda basi ilikuwa ni tafrani tupu,sasa hii inaonyesha ni jinsi gani hawa watu akili zao ni ndogo,na hata wanachokiamini hawakijui bali ni kufuata mkumbo tu
 
watu weusi tumeshindwa kabisa kujitambua matokeo tumekuwa vibaraka wa kila kitu,dini hasa hizi dini kubwa mbili,uislamu na ukristo zililetwa na wageni period, sitetei dini yoyote ila hii dini ya uislamu kwa kw eli ni tatizo kubwa mno duniani,ukristo uko tofauti sana jinsi wanavyohandle mambo yao,tumekuwa tukishuhudia mambo ya ajabu na kikatili kabisa yakifanywa na hawa wanaojiita waislamu mbaya zaidi waafrika na ukibaraka wao tunauana bila kufikiria mara mbili kisa dini..inasikitisha sana!

Yaani sijaona dini zetu za jadi zikifanya maovu kama hizi dini za kuletwa.
 
Ndio iko hivyo mkuu,hawa watu akili zao hazina tofauti na watu walioishi kwenye mediaval age/period...mfano mdogo tu hapa kwetu kuna mwaka fulani kule Mbagala eti zee zima likapelekea habari kwa waislamu wenzake kuwa kuna mtoto jirani kakojolea kitabu chao wanachokiamini,basi ikazuka mijitu isiyo na ufahamu hata kidogo ikaanzisha vurugu wakavamia kanisa kule mbagala,wakaiba mikate na kunywa divai,wakaiba vinanda basi ilikuwa ni tafrani tupu,sasa hii inaonyesha ni jinsi gani hawa watu akili zao ni ndogo,na hata wanachokiamini hawakijui bali ni kufuata mkumbo tu
Ndo hapo sasa dini yenyewe ya kuletewa na waarabu,jamani inasikitisha sana
 
Huyo huyo mwarabu aliyekuletea dini yake aliwachukua babu zako akawauza utumwani.Halafu leo unaambiwa umsujudu mtume wao .

Kama sio ujinga ni nini?
 
Hivi wale waliochukua babu zetu huko ghana na meli imeandikwa JESUS NI WAARABU,?

UNAIJUA HISTORY YAKO VEMA LKN?

YES..WAPO WAARABU WALIFANYA BIASHARA YA UTUMWA NAKUBALI...LKN SIO IN THE NAME OF ISLAM.

ISLAM AS A RELIGION UMEPIGA VITA UTUMWA WAZ WAZI TOKEA MAANDIKO YALIPOSHUKA.

WHAT YOU DONT UNDERSTAND NI KWAMBA WAPO WAARABU AMBAO NI CHRISTIANS...NA WALIANZA KUWA CHRISTIANS HATA KABLA MTUME MUHAMMAD AJAFIKA DUNIAN.

BLACK PEOPLE WALIOJAA AMERICA NA CARRIBEAN ISLANDS...EQUADOR..CUBA..BRAZIL NA KADHALIKA WALIPELEKWA NA WAARABU??

JITAMBUE UACHE KUKARIRI.

KAA CHINI UISOME HISTORY YAKO.
 
Ndio iko hivyo mkuu,hawa watu akili zao hazina tofauti na watu walioishi kwenye mediaval age/period...mfano mdogo tu hapa kwetu kuna mwaka fulani kule Mbagala eti zee zima likapelekea habari kwa waislamu wenzake kuwa kuna mtoto jirani kakojolea kitabu chao wanachokiamini,basi ikazuka mijitu isiyo na ufahamu hata kidogo ikaanzisha vurugu wakavamia kanisa kule mbagala,wakaiba mikate na kunywa divai,wakaiba vinanda basi ilikuwa ni tafrani tupu,sasa hii inaonyesha ni jinsi gani hawa watu akili zao ni ndogo,na hata wanachokiamini hawakijui bali ni kufuata mkumbo tu

Lakin hayo yoote mnayasababisha kwa kuwachokoza.

Bila ***** ***** mbona kila kitu kinakuwa okey na watu wanafanya maisha yao kama kawaida?

Wewe ukiabudu sanamu la kizungu ukiliita mungu ni haki yako.

Mimi siwez kukutukana wala kukukejeli.

Simple.

Amin unachokiamin namimi niamin kile ninachokiamin.

Dont provoke me i wont provoke you.

Watu wanafungishana ndoa za mashoga kanisani huwez kutuskia sisi tunakejeli wala kudhihaki.

TUNAHESHIMU.

NI HAKI YENU HIYO.
 
Hivi wale waliochukua babu zetu huko ghana na meli imeandikwa JESUS NI WAARABU,?

UNAIJUA HISTORY YAKO VEMA LKN?

YES..WAPO WAARABU WALIFANYA BIASHARA YA UTUMWA NAKUBALI...LKN SIO IN THE NAME OF ISLAM.

ISLAM AS A RELIGION UMEPIGA VITA UTUMWA WAZ WAZI TOKEA MAANDIKO YALIPOSHUKA.

WHAT YOU DONT UNDERSTAND NI KWAMBA WAPO WAARABU AMBAO NI CHRISTIANS...NA WALIANZA KUWA CHRISTIANS HATA KABLA MTUME MUHAMMAD AJAFIKA DUNIAN.

BLACK PEOPLE WALIOJAA AMERICA NA CARRIBEAN ISLANDS...EQUADOR..CUBA..BRAZIL NA KADHALIKA WALIPELEKWA NA WAARABU??

JITAMBUE UACHE KUKARIRI.

KAA CHINI UISOME HISTORY YAKO.

Wakristo vilevile walituchukua utumwani Kwahiyo siwatetei .Tatizo waislamu hamjajifunza. Kitabu chenu kinaruhusu ufisadi nilioandika hapo juu ndio maana mtaendelea kuchukiwa na kila mtu.
 
Ninaamini master minds wa hii game sasa hivi wanacheka tu kwa sababu hiki ndio hasa wanachotaka kukiona. Sasa kazi kwetu kuchinjana halafu tukishaisha jamaa wanakuja kujibebea rasilimali wanaendelea kula bata kama juzi na jana vile.
 
kuna mambo makuu 2 ktk dini hii
1.poor thinking
2.and reasoning capacity

I like that. 2. Must be low/small reasoning capacity. Jengo lina kosa gani yaa rabiii?? Unaua mtu kumtetea mtume wa Mwenyezi Mungu. Hivi kweli huyo Mtume asiyeweza hata kumtandika fimbo mtu anayemtania kwa kumchora huyo ataweza kukutetea weye siku ya kiama?? Fikirini mapema kabla hamjapotea. Kama mtume wangu hawezi kujitetea ntamtafuta mwenye uwezo wa kunitetea
 
Lakin hayo yoote mnayasababisha kwa kuwachokoza.

Bila ***** ***** mbona kila kitu kinakuwa okey na watu wanafanya maisha yao kama kawaida?

Wewe ukiabudu sanamu la kizungu ukiliita mungu ni haki yako.

Mimi siwez kukutukana wala kukukejeli.

Simple.

Amin unachokiamin namimi niamin kile ninachokiamin.

Dont provoke me i wont provoke you.

Watu wanafungishana ndoa za mashoga kanisani huwez kutuskia sisi tunakejeli wala kudhihaki.

TUNAHESHIMU.

NI HAKI YENU HIYO.

Dhihaka toka kwa wanaojiita waislamu kwenda kwa wanaojiita wakristo zipo kila kukicha,toka miaka hiyo kwa mfano hapa kwetu,waislamu wamekuwa wakiwaita wakristo majina mengi ya dhihaka,kuendesha mihadhara ya kashfa kwa miaka mingi tu,lakini sijawahi kuona mkristo anapandisha jazba au ghadhabu kwa muislamu,lakini tukiachana na haya inakuwaje tatizo litokee nchi nyingine kisha nakuja kukudhuru wewe au kuharibu nyumba yako ya ibada?hii kweli ni akili timamu?
 
Nadhani hakuna ujinga mwingine wa mwisho zaidi yahuu, kibonzo kimechorwa ufaransa wao wanachoma makanisa huku Africa, hawa watu sijui makanisa yanawanyima raha kiasigani, watoto walibishana wakakojolea kitabu, mizee mizima ikachoma makanisa, yani kituchochote kikifanyika wanakimbiliakuchoma makanisa huu ni zaidi ya ujuha nafkiri majini yanafanyakazi vichwani mwao, hii sio akili ya binadamu wa kawaida ni akili ya mashetani yaliyo geuza maskani vichwani mwao.
 
Unaskiaje nukimchora mama ako uchi!!!!!sasa mama na mungu wako yup anauzito
 
Wakristo vilevile walituchukua utumwani Kwahiyo siwatetei .Tatizo waislamu hamjajifunza. Kitabu chenu kinaruhusu ufisadi nilioandika hapo juu ndio maana mtaendelea kuchukiwa na kila mtu.

Kitabu chetu kitukufu hakiwez kuwa na ufisadi.

Kama una andiko lolote kutoka kwenye kitabu chetu umeliona linasema hivyo liweke hapa.

Qur an ni kitabu kitukufu.

Na Muhammad kipenz chetu ni Mjumbe wa Mungu kwa wanaadamu wote.

Katufunza pia kuheshimu mitume wengine wa mungu waliopita kabla yake akiwemo na Issa aleyhi salaam mnaemuita nyinyi Jesus..

Tunamheshimu Pia Abraham..Solomon...Yacob..Isaac..Noah..Zacharia na wengineo weengi miongoni kwa mitume wa mungu.

Islam Our Beautiful Religion haiwez kufa kwa propaganda za walimwengu.

Welcom to Islam before its too late.
 
Huku nikuamini sanamu,yanikibonzo kinamtoamtu uhai, I can't believe dis rediculars!!.[/QUOTEo sema tu ukwel wako utasikiaje nimemchira mama ako havn sex with he got......whow daz it fill....vp sasa kwa yesu.....tuheshimiane bana thats all
 
Ntajiskia vibaya na ntamfuata mchoraji, siwezi kwenda mail elfu 10,000 nakuanza kumdhuru mtuambae hata hamfahamu huyo mchoraji, nikifanyahivyo ujingawangu utaanzia hapo.
 
Kitabu chetu kitukufu hakiwez kuwa na ufisadi.

Kama una andiko lolote kutoka kwenye kitabu chetu umeliona linasema hivyo liweke hapa.

Qur an ni kitabu kitukufu.

Na Muhammad kipenz chetu ni Mjumbe wa Mungu kwa wanaadamu wote.

Katufunza pia kuheshimu mitume wengine wa mungu waliopita kabla yake akiwemo na Issa aleyhi salaam mnaemuita nyinyi Jesus..

Tunamheshimu Pia Abraham..Solomon...Yacob..Isaac..Noah..Zacharia na wengineo weengi miongoni kwa mitume wa mungu.

Islam Our Beautiful Religion haiwez kufa kwa propaganda za walimwengu.

Welcom to Islam before its too late.

imani zingine ni mzingo kuwa nazo.!
 
Tatizo ni Uislam na sio Binadamu.... Niwakusamehewa tu hao watu... kwani Sumu aliyoiacha Mwamedi ni kali zaidi ya Nyoka.. hayo Matendo Maovu ni ya kishetani na aliyeyualeta ni Shetan mwenyewe kwa kumpandikizia Mwamedi pangoni... mimi sioni cha kushangaza kwa mtu aliyeupokea Uislam kufanya tendo la kutisha lolote kuanzia matusi... Uislam sio Dini ya Mungu ni Majini na Mashetan tu ndio yanayoifuata...

Dunia inajuta kuwa na hii Imani iliyolaaniwa
Well said
 
Ntajiskia vibaya na ntamfuata mchoraji, siwezi kwenda mail elfu 10,000 nakuanza kumdhuru mtuambae hata hamfahamu huyo mchoraji, nikifanyahivyo ujingawangu utaanzia hapo.

Utamfata tu kama unaenda kumsalimia sio. mjifunze kuheshumu dini za wengine na muusiane hilo coz likija timbili halibagui ilimrad tu uwe mwana familia..thats mns mohammad ni mtume wa wengi popote anapoguswa mtu anauweza wa kufanya chochote dhid ya ndugu yoyote wa upande wa pil bt cha msingi ni kuheshimiana msijifanye mnashaa ngaa matokea ya wapuuzi wa chache na si kukemea upuuzi
 
Kuheshimiana katika imani za dini tofauti ni kitu muhimu sana. Viongozi wa dini wengi hapa duniani wangekuwa na msimamo kama wa Pope Francis kwamba waumini wa dini moja wasifanye dhihaka dhidi ya wale wa dini nyingine kuhusiana na dini yao basi incidents kama hizi zingepungua sana au kutokuwepo kabisa.
And who told you kuwa wenye hilo gazeti wana dini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom