Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

Charlie Hebdo: Makanisa yachomwa moto Niger

Status
Not open for further replies.
Unajua nini ,wakimdhihaki Yesu,siwezi kuchukua hatua ya kuwaua eti sababu wamemchora Yesu kuwa alimuoa maria magdalena,nitawaombea tu,kisasi kipo juu ya MUNGU.Hao wanaochoma makanisa ni kwa sababu eti Mohamed kachorwa,unasema sio uislam ni nini sasa?

Hao waliochoma MAKANISA KISA TUH MTUME KATUKANWA AU KACHORWA KATUNI SIO UISLAM NA HAO KAMA SIO WAHUNI BASI HAWAJUI MAFUNDISHO SAHIHI YA UISLAM,

MTUME ALIKUWA ANAISH NA WAKRISTO ENZ ZAKE KWA WEMA KABISA BILA FUJO NA KWA AMANI

NA WALIKUWA WANAABUDU KWENYE MAKANISA YAO BILA SHIDA BILA BUGHDHA


WAPO PIA BAADHI YA WATU KATIKA FAMILIA YAKE MFANO BABA YAKE MLEZI HAKUWA MUISLAM HADI ANAKUFA ILA ALIISH NAE VIZUR KABISA PAMOJA NA KWAMBA ALIKUWA NI IMAN TOFAUTI NA YEYE

HATA KAMA NI KISASI,UISLAM HAURUHUSU VISASI BILA SABABU YA MSINGI

SOMETIMES UNAAMBIWA UJILINDE IN SELF DEFENCE NA SIO KUANZISHA FUJO NA KUSEMA UISLAM UMEAMRISHA HIVYO

HAIKO HIVYO

NI UELEWA WA WATU NA ELIMU
 
Atleat ww unakiili kidogo umeenda kwengine kwenye majarida sasa nikuulize unavoona ww hakuna majarida yanayokashifu uislamu sio tu majarida mpaka qur an kuimbiia kuna video clip nyingi tu za wakristo wakikashifu qur an unaonaje hilo dogo au ila waislamu wamekaa kimya wametulia tu na kuna zaidi ya hayo lkn mnaona bado mnachokonoa na kwengine kukashifu kuchora katuni na kuonyesha matendo ya kipumbavu juu ya mtume ulitaka tukae tukuangalieni.
kwani akikashifiwa mtume wewe ukamdharau aliyemkashifu ukaendelea na imani yako utapata madhara gani?
 
Kama mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote yupp imekuwaje kaumba ulimwengu ambao ujinga huu unawezekana kwa jina lake?
 
Mungu akubariki kwa busara zako laiti wangelikuwa kama wewe dini ingelikuwa kwa kasi kubwa sana maana kuna matendo yanawafanya watu wafikrie mara mbili mbili kujiunga na uislamu.
Mwenyeezi Mungu akubarkie nawe Molembe Victoire stineriga Remote Molembe 2013 Hewa mkaa

Haki tena Ndiyo nipo na waumini wengine kuomba tupewe "Mahakama ya kadhii" ili tuwafungulie mashtaka hawa watu wa aina hiyo na kuwasimamisha kizimbani ili wawajibike kwa matendo yao maovu au ya kuvunja sheria... kwa kujiita Muslims !! (watu wenye kutumia mgongo wa dini, jina la Dini, na wenye kuchafua heshima ya Dini ya kiislam hii adhimu ) !! ISLAM means SALAM yaani Peace in both ways and both angles and all directions !! Ushuhuda wa kuiishi kwa amani na Mataifa,Kabila Dini,Madhehebu yote kwa usalaama na Ushirikiano.

Tungependa Kuwa fuwafikisha mahakama ya kadhi kwanza na baadaye kuhamisha kesi huko kwenye viombo vya sheria. Kwa waovu hao na wavunjao amani na wenye kujiita Siasa kali za dini kwa kosa lolote linalo pakizia au kubambikiza Waisilam kwa ujumla !! kwani Dhambi za wengine wachache kwanini waIsilam wote wabebe lawama.!! Na ikithibitisha hukumu Hakuna kupendeleana katika hili.

Wabilaahi tawfiq.

 
Last edited by a moderator:
Sikua najua kama duniani kuna wajinga kiasi hiki ...

Wamiliki wa hiki kijarida hawana uhusiano na dini ya Ukristo wala dini ya Kiyahudi,waliwahi kumchora Papa,"Yesu" na Kiongozi wa dini ya Kiyahudi na sasa wamemchora mtume Mohammad

Hivi ni kwa namna gani mtu ambae ni mzima kiakili anashindwa kutofautisha katuni na mtu halisi au mhusika,hivi mtu anapochora katuni ambayo inafanana na yako utakuwa ni wewe?

Pamoja na hayo,hawa waandamanaji ni binadamu ambao wako timamu kweli? Nauliza hivyo kwasababu kama wameshindwa tu kujua kuwa hawa jamaa hawafanyi hivi kwasababu za kidini bali za kibiashara kitu ambacho ni rahisi kabisa kueleweka,wanawezaje hata kumjua huyo mtume na mungu ambae sasa wanadai kumpigania?Kama mtu unashindwa kuelewa tofauti hii ndogo tu utawezaje hata kuielewa dini ambayo unadai unaifuata na iliyopelekea wewe kufanya ujuha huu?

Pamoja na kituko hiki,hawa Waislam na Waislam wengine kila siku wamekuwa wakidai kuwa makundi ya kigaidi kama ISIS,Al Shabaab,Boko Harama,Al Qaida n.k kuwa hayafuati dini ya Kiislam na yanaupaka matope Uislam,ni kwanini hawajawahi kufanya maandamano kama haya na kuchoma moto hata picha za kiongozi wa makundi haya kuonesha kuwa hawakubaliani na ujuha ambao wanaufanya?

Ni binadamu gani ambae yupo sawa kiakili anaweza kudhani kuwa kibonzo hicho kina uhusiano na dini Ukristo hadi uende kuchoma makanisa?

Hivi ni kweli Waislam wanafikiri kwa namna hii kweli?

CC: Wickama , Mkuu wa chuo , MTAZAMO !
 
Last edited by a moderator:
Wachoma makanisa wana akili finyu hao, kudanganywa na wazungu eti kibonzo cha mtume! Wanahatarisha maisha ya waafrika wenzao kwa jambo dogo sana.
 
Tutarajie mlolongo wa matukio ya walipuaji wa kujitoa muhanga kutoka kila pande ya ufaransa....
 
Hao waliochoma MAKANISA KISA TUH MTUME KATUKANWA AU KACHORWA KATUNI SIO UISLAM NA HAO KAMA SIO WAHUNI BASI HAWAJUI MAFUNDISHO SAHIHI YA UISLAM,

MTUME ALIKUWA ANAISH NA WAKRISTO ENZ ZAKE KWA WEMA KABISA BILA FUJO NA KWA AMANI

NA WALIKUWA WANAABUDU KWENYE MAKANISA YAO BILA SHIDA BILA BUGHDHA


WAPO PIA BAADHI YA WATU KATIKA FAMILIA YAKE MFANO BABA YAKE MLEZI HAKUWA MUISLAM HADI ANAKUFA ILA ALIISH NAE VIZUR KABISA PAMOJA NA KWAMBA ALIKUWA NI IMAN TOFAUTI NA YEYE

HATA KAMA NI KISASI,UISLAM HAURUHUSU VISASI BILA SABABU YA MSINGI

SOMETIMES UNAAMBIWA UJILINDE IN SELF DEFENCE NA SIO KUANZISHA FUJO NA KUSEMA UISLAM UMEAMRISHA HIVYO

HAIKO HIVYO

NI UELEWA WA WATU NA ELIMU


Well said THE BIG SHOW!!!!!

cc Eiyer,
 
Last edited by a moderator:
Tutarajie mlolongo wa matukio ya walipuaji wa kujitoa muhanga kutoka kila pande ya ufaransa....

Mkuu, Mie nasema imeshadhihiri ukuaji mkubwa na mapenzi zaidi kwa Mtume Muhammad S. A. W. baada ya uchapishaji katoni, Waliyekuwa katika mghafala na usingizi... wengi Duniani wememtambuwa na wameamka na kumuombea Rehman na Amani S.A.W !!

Yaani Charlie hebdo kama vile kaamsha hisia za waumini...!! na kuutambulisha kwa Vishindo Uisilam ulimwenguni kwa njia moja au ingine...!!
 
Sikua najua kama duniani kuna wajinga kiasi hiki ...

Wamiliki wa hiki kijarida hawana uhusiano na dini ya Ukristo wala dini ya Kiyahudi,waliwahi kumchora Papa,"Yesu" na Kiongozi wa dini ya Kiyahudi na sasa wamemchora mtume Mohammad

Hivi ni kwa namna gani mtu ambae ni mzima kiakili anashindwa kutofautisha katuni na mtu halisi au mhusika,hivi mtu anapochora katuni ambayo inafanana na yako utakuwa ni wewe?

Pamoja na hayo,hawa waandamanaji ni binadamu ambao wako timamu kweli? Nauliza hivyo kwasababu kama wameshindwa tu kujua kuwa hawa jamaa hawafanyi hivi kwasababu za kidini bali za kibiashara kitu ambacho ni rahisi kabisa kueleweka,wanawezaje hata kumjua huyo mtume na mungu ambae sasa wanadai kumpigania?Kama mtu unashindwa kuelewa tofauti hii ndogo tu utawezaje hata kuielewa dini ambayo unadai unaifuata na iliyopelekea wewe kufanya ujuha huu?

Pamoja na kituko hiki,hawa Waislam na Waislam wengine kila siku wamekuwa wakidai kuwa makundi ya kigaidi kama ISIS,Al Shabaab,Boko Harama,Al Qaida n.k kuwa hayafuati dini ya Kiislam na yanaupaka matope Uislam,ni kwanini hawajawahi kufanya maandamano kama haya na kuchoma moto hata picha za kiongozi wa makundi haya kuonesha kuwa hawakubaliani na ujuha ambao wanaufanya?

Ni binadamu gani ambae yupo sawa kiakili anaweza kudhani kuwa kibonzo hicho kina uhusiano na dini Ukristo hadi uende kuchoma makanisa?

Hivi ni kweli Waislam wanafikiri kwa namna hii kweli?

CC: Wickama , Mkuu wa chuo , MTAZAMO ![/QUOTEkum@Eiyer........ Mithali 1: 7, na 9:10, inasema kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa!
Sasa kama humchi Mungu Jehova, unategemea hekima, maarifa Na Akili zitoke wapi?
Ulimkosa Mungu utakuwa una behave sawasawa na aliye kinyume Na Mungu na bila shaka unamfahamu!
 
Last edited by a moderator:
mtu mweusi ni rubbish tu,mambo yatokee nchi nyingine nyinyi mnakuja kuumizana kwa vitu hata wasivyovijua?stupid africans,stupid minds.....i wish hizi dini zisingefika kabisa huku Afrika!


Unajua hizi dini tulizopapatikia waafrika ni ethnocentric, yaani kama waislamu kila kitu ni uarabu, ukisali uangalie mecca mpaka kuzikwa etc.Ni utumwa wa kimawazo.

Arab imperialism in action.Ina maana waafrika hatuna Mungu mpaka tumfuate Mungu aliyefuatwa na watu wa jangwa? Kwangu mimi mbinguni na Mungu yupo
hapa hapa Afrika.

Mbona waislamu wanatukana watu wasio na dini kwa kuwaita makafiri?mbona makafiri hawachomi misikiti?Waislamu wanapaswa wajifunze kuvumilia watu wasiofuata au kujua dini yao.Kwa asiye mwislamu Mtume wa waislamu means nothing to them.
 
Ngubhulile kubwandilo ubukirisiti jikaja dini. Ina maana naelewa maana ya dini ndiyo sababu nikautenga ukristo na dini.
Ungafujagha akabhalilo kangu ni nongwa sya bhulemalema...
Nimekuuliza hivi. unajua maana ya neno dini, na kama unaelewa kuna dini ngapi unazozifahamu hapa duniani?, ungibwagha ijitu jila kula kunho tukwiputa kumatengele, kula kuli nubhusisya
 
Kuheshimiana katika imani za dini tofauti ni kitu muhimu sana. Viongozi wa dini wengi hapa duniani wangekuwa na msimamo kama wa Pope Francis kwamba waumini wa dini moja wasifanye dhihaka dhidi ya wale wa dini nyingine kuhusiana na dini yao basi incidents kama hizi zingepungua sana au kutokuwepo kabisa.

Umenena vema Mkuu ni kitu kibaya sana kudhihaki imani ya mtu mwingine na hii ni pande zote.
 
Hiyo picha iko wapi hebu iwekeni kama ipo


707192-une-charlie-png.jpg.png
hii picha ndo inafanya watu wachome makanisa,tena naamini kabisa hata hao wachomaji hawajaiona hata kuiona,ila wameambiwa tu,wachoraji wenyewe wapagani,halafu makanisa eti yanachomwa.wapi na wapi?
 
Unajua hizi dini tulizopapatikia waafrika ni ethnocentric, yaani kama waislamu kila kitu ni uarabu, ukisali uangalie mecca mpaka kuzikwa etc.Ni utumwa wa kimawazo.

Arab imperialism in action.Ina maana waafrika hatuna Mungu mpaka tumfuate Mungu aliyefuatwa na watu wa jangwa? Kwangu mimi mbinguni na Mungu yupo
hapa hapa Afrika.

Mbona waislamu wanatukana watu wasio na dini kwa kuwaita makafiri?mbona makafiri hawachomi misikiti?Waislamu wanapaswa wajifunze kuvumilia watu wasiofuata au kujua dini yao.Kwa asiye mwislamu Mtume wa waislamu means nothing to them.

watu weusi tumeshindwa kabisa kujitambua matokeo tumekuwa vibaraka wa kila kitu,dini hasa hizi dini kubwa mbili,uislamu na ukristo zililetwa na wageni period, sitetei dini yoyote ila hii dini ya uislamu kwa kweli ni tatizo kubwa mno duniani,ukristo uko tofauti sana jinsi wanavyohandle mambo yao,tumekuwa tukishuhudia mambo ya ajabu na kikatili kabisa yakifanywa na hawa wanaojiita waislamu mbaya zaidi waafrika na ukibaraka wao tunauana bila kufikiria mara mbili kisa dini..inasikitisha sana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom