Charles William wa wasafi fm anafaa kuwa DC

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,093
21,219
Habari wakuu

Aisee huyu kijana namfuatiliaga sana kwenye kipind cha goodmorning wasafi fm ,yupo smart sana hasa mambo ya siasa ,anaijua siasa vilivyo ..

Anajua kuongea na kupangua hoja bila kubabaika ,namkubali sana ,nilitamani kumuona kwenye teuzi ,aisee huwa natamani sana afike mbali huyu jamaa ,yupo smart sana ..

Uzi tayar
IMG_20210619_233000.jpg
 
Yupo huyo charles william na samson charles wa EA radio kama sikosei asee wako vzur knoma
 
Habari wakuu

Aisee huyu kijana namfuatiliaga sana kwenye kipind cha goodmorning wasafi fm ,yupo smart sana hasa mambo ya siasa ,anaijua siasa vilivyo ..

Anajua kuongea na kupangua hoja bila kubabaika ,namkubali sana ,nilitamani kumuona kwenye teuzi ,aisee huwa natamani sana afike mbali huyu jamaa ,yupo smart sana ..

Uzi tayarView attachment 1824045
Huyu dogo si ndio yule anafanana na Tito Magoti? Ni kichwa sana huyu.
 
Habari wakuu

Aisee huyu kijana namfuatiliaga sana kwenye kipind cha goodmorning wasafi fm ,yupo smart sana hasa mambo ya siasa ,anaijua siasa vilivyo ..

Anajua kuongea na kupangua hoja bila kubabaika ,namkubali sana ,nilitamani kumuona kwenye teuzi ,aisee huwa natamani sana afike mbali huyu jamaa ,yupo smart sana ..

Uzi tayarView attachment 1824045
Ila kiukweli huyu jamaa yupo vizuri mno kuliko yeyote aliyepewa udc, ila nahisi kwenye mkeka wa wakurungenzi wa halmashaur yumo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom