Manyovumpya
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 742
- 504
Ila kala maisha..ubunge..uwaziri...R.i.pAliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri kipindi cha awamu ya tatu Charles Ndiliana Ruwa Keenja amefariki Dunia leo akipatiwa Matibabu Seifee Hospital jijini Dar.
Marehemu Keenja alizaliwa December 24, 1940.
Mungu aipokee Roho ya Marehemu mahali pema peponi.
Pia soma