TANZIA Charles Keenja na mkewe wafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Seifee

Huyu mdudu yaani shida sana, moja ya mtihani mkubwa ambao mwanadamu hajapata kuupitia...

Yaani huwezi kuishi pasipo kupumua, then mdudu yeye kakomaa kukaa kwenye hewa ambayo lazima uivute...

I salute you bro
 
Sasa yeye kuwa Rais wa zenji itatusia nini? Je itatusaidia kupata sado ya mahindi?

R. I. P Mr and Mrs
Ila inauma na kusikitisha wote kufa pamoja wakati mmoja. Napiga picha familia yao inavyopitia wakati mgumu.

Mkuu BAK hivi hii Delta na Indian variant ni sawa?
Kuna mwingine anaitwa Gamma kagunduliwa huko America ya Kusini! Nadhani muda si mrefu atagunduliwa lambda na kisha Sigma!!!
 
Wamepishana muda kidogo na mke wake.Naye amekata moto baada ya mumewe.
Duh hii hatari kwa kweli. Itabidi wazikwe kaburi la pamoja liwe kaburi la wapendanao kama lile la Kaole, Bagamoyo. Walale kwa amani na sifa na utukufu ziende kwa Mungu.
 
Jipige kifuani mara tatu sema mimi ni mdaku!
Niseme ukweli ni mwanafamilia? Nimeona death certificate mpaka niseme amekufa kwa ugonjwa gani?

Wewe nimsemaji wa familia? Umeona hati ya kifo?

You are an idiot! A very big and fat idiot indeed!

Subiri ufe uje ututangazie umekufa kwa ugonjwa gani mdaku wewe! Kazi kufuatilia familia zisizokuhusu!
Hivi mtu kufa kwa corona ni aibu??? ingekuwa kipindupindu au ukimwi ni sawa kuona aibu
 
Hivi mtu kufa kwa corona ni aibu??? ingekuwa kipindupindu au ukimwi ni sawa kuona aibu
Kuna mahali nimeandika unachokisema? In case unekuja speed sana karudie kusoma tena. Sio sawa kila mtu kujifanya ni mtangazaji wa misiba ya watu na kusema amefariki kwa ugonjwa gani ilhali si msemaji wa familia wala hajaona death certificate inayoonesha marehemu amefariki kwa sababu gani.

Huu ni udaku unaopaswa kukoma. Inatosha kutoa taarifa za tanzia na mahali alipofia. Mambo ya ndani iachwe familia itangaze kama itapenda.

Mbowe alitangaza ndugu zake wamefariki kwa Corona na ilikuwa sawa. Ila sio random people kujifanya wasemaji wa familia.

Kumalizia hebu fikiria umefiwa na baba yako (Mungu aepushie mbali) halafu unakuta watu kama 100 hivi JF wanasema mzee kafariki kwa hiki ama kile. Unadhani utajisikiaje? Misiba ni faragha, tuwafariji wafiwa bila kuingilia faragha zao. Kama hatuwezi kuwafariji heri tukae kimya
 
Unadhani unaweza kuzuia watu kusema lolote watakalo, kuna mambo mengine inabidi uiachie jaamii iseme ilitakalo ila ukweli Anaujua mhusika.
 
Unadhani unaweza kuzuia watu kusema lolote watakalo, kuna mambo mengine inabidi uiachie jaamii iseme ilitakalo ila ukweli Anaujua mhusika.
Kuwazuia sina hata mpango. Ila kuwaambia ukweli lazima niwaambie tu kila ninapoweza.
Hasa wale wenye kiherehere cha kugeuka Coroners kwenye kila thread ya Tanzia. Wanakera!
 
Back
Top Bottom