mtembea kwa miguu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 1,121
- 1,726
Mkuu mim baada ya stay home ya corona ilibidi nifungue pc yangu iliyoharibika miaka kumi sasa nimetoa hard disk nimeinunulia external case sasa.Fernando Sucre mzee wa malavi davi
Abruzzi, huyu ndo alikua kiboko ta T-bag
Alex Mahonne, genious wa pili ukimtoa Michael Scorfield
hii seies pamoja na 24 itabaki kuwa best ever miaka yooote!!
Me mwenyewe nairudia hapa na naiona mpya utazani imetoka hiv karibuniMkuu mim baada ya stay home ya corona ilibidi nifungue pc yangu iliyoharibika miaka kumi sasa nimetoa hard disk nimeinunulia external case sasa.
Nimejikuta napata bonge la kampan hapa home la prison break. Yaani imekuwa kama mpya hivi kwangu
Series nyingi siku hizi mastering ni either wanatabia za u lezbian au gaysim.Nami niliichukia hiyo series baada ya kuambiwa Scofield ni shoga! Sitaki kuisikia tena! Jamani useng* mbaya sana!
Afu huyu jamaa hayupo kwenye 24 kweli??Kuna jamaa moja "Haywire" dishi limeyumba kidogo yeye ndie aligundua kwamba tattoo za Michael zina maana.Alikariri tattoo zote mpaka Michael alienda kumuuliza sehemu ambazo amesahau. View attachment 1415076
Mimi pia nampenda alex mahone. Yani alivyo badilika from kuwa shushupaka kuwa kwenye genge la wahuni.yaaani nasikitika hadi sahv hakuna mtu aliemtaja alexandra mahone jamaa alitumia akili kubwa sana kuwafatilia kina michael
Sent using Jamii Forums mobile app
Wyatt mathewson huyu jamaaa alikuwa katili saana dah. Mzee wa show tuuKillerman
Wyatt
Michael
Na yule wa sucre(sijui ameolewa)
Huyu Donself dah snitch saanaUliona ile Michael scottfield walivyopigwa bongo dar-es-salaam pamoja na ujanja wao wote na Don self yule polisi, walifanya kazi kubwa ya kupata sylla wanajikuta wanampa kirahisi don self alafu anawapa file la wao kuwa huru kumbe ndani yake wanafungua wanakuta karatasi tupu haina maandishi
Anaitwa GearyMkuu ni T-Bag ndo ulimeza funguo za loka alilofungia begi la hela, walio muwekea poti la kunya ni Belleck na yule afande mwingine alietimuliwa na pop kwa kuchongewa na maiko kuwa anadhulum wafungwa vitu vyao
Benjamin miles Franklin C 'NoteMwenye namba ya yule demu wa yule black american aliekuwaga mjeda wakamshikisha kesi ya ku smuggle bia kambini anitumie pm
Wyatt Mathewson wa JF YuleYule black ambae ukimpa siri ANAKUUA na GRECHEN
unakumbuka ile scene alimpa twinner burger ili apate siri za michael twinner akazingua likamwambia nilipe burger zangu akajibu hana pesa likamwambia “go sell your ass” 🤣hahaha nilimpenda sana huyu mwana,hasa ule ubabe wakati mjeda jela 😂
huyu jamaa alikuwa na akili sana,alikuwa TO wa huko kwao yani alipewa tuzo nyingi za kuongoza kwenye mitihani, elimu imelala hapoKuna jamaa moja "Haywire" dishi limeyumba kidogo yeye ndie aligundua kwamba tattoo za Michael zina maana.Alikariri tattoo zote mpaka Michael alienda kumuuliza sehemu ambazo amesahau. View attachment 1415076
Sawa mkuuwakuu tafuteni documentary inaitwa ESCAPE FROM ALCATAZ nadhani prison break wameiga hiyo story
kwa kifupi ni tukio lilitokea miaka ya 60 huko marekani kwenye kisiwa kilichoitwa alcataz ambacho ni gereza lililoaminika kuwa maximum security lakini kuna jamaa walitoboa ukuta wa cell yao wakaacha bed midoli afu wakawa wametengeneza maboya na boat kwa kutumia coats zao za baridi wakakimbia mpaka leo hawajapatikana