Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,131
- 9,392
Wasalimie hapo sinza moriAahahahahahaaa
Sikubahatika pamoja na kusakata rhumba kwa kila mkao.....
Ukiweka sera humu utapata tuu, mbona wapo wengi tuu warembo kuliko urembo wenyewe.

acheni tabia ya uongo mnapotosha vijana wenu walozaliwa baada ya huo usafiri kusitishwa. Treni ya Moshi-Dar ilikuwa inaondoka saa 04.15 jioni haijawahi kuongeza muda wala kupunguza. Treni kutoka Tanga ilikuwa inafika Korogwe, inasubiri ya kutokea Dar-Moshi, wanabadilisha mabehewa pale, tunaondokaga saa 8 hivi usiku Tanga tunafikaga alfajir saa 06.00am bila kuchelewa. Treni zilikuwa smart sana acha kupotosha watu. Nna wasiwasi we hujawahi kutumia huo usafiri.
Dereva hakujua hilo Mkuu,yeye alihisi ni kimo cha kawaida tu,broo wangu wa damu GENTAMYCINE anaweza kuja kutolea ufafanuzi mzuri zaidi hili sualaMkuu unataka kusema bus lililazimisha kupita maji yakiwa mengi kimo cha mnazi au??
Mkuu unataka kusema bus lililazimisha kupita maji yakiwa mengi kimo cha mnazi au??
Evolution1.>>> Shengena Bus Service. 2.>>> Air Shengena. 3.>>> No Challenge 4. >>> Tashrif
Mmh rafiki bila kuchelewa...tumelala sana stesheni, kwa hapo nitakukatalia...labda kama ulibahatika kwenye safari zako zilikuwa shwari mwanzo mwisho...acheni tabia ya uongo mnapotosha vijana wenu walozaliwa baada ya huo usafiri kusitishwa. Treni ya Moshi-Dar ilikuwa inaondoka saa 04.15 jioni haijawahi kuongeza muda wala kupunguza. Treni kutoka Tanga ilikuwa inafika Korogwe, inasubiri ya kutokea Dar-Moshi, wanabadilisha mabehewa pale, tunaondokaga saa 8 hivi usiku Tanga tunafikaga alfajir saa 06.00am bila kuchelewa. Treni zilikuwa smart sana acha kupotosha watu. Nna wasiwasi we hujawahi kutumia huo usafiri.
Ni kweli maji yalionekana ya kawaida tu, ila lilipotokomea basi zima ndio ukweli ukadhihirika...Dereva hakujua hilo Mkuu,yeye alihisi ni kimo cha kawaida tu,broo wangu wa damu GENTAMYCINE anaweza kuja kutolea ufafanuzi mzuri zaidi hili suala
Pole Dana mzee.hebu tukumbushie na air msae mpaka kubadilishwa kuwa Kilimanjaro bus nasikia nayo ilizama mtoni 1998 Enzo za elnino.anaejua hii taarifa atupe mkanda mzmaAnaandika mzee Joseph Jandwa
Leo 3/5/2023 imetimia miaka 25 tangu ajali ya basi iliyosababisha vifo vya abiria 96 na majeruhi 9, ilipotokea jioni ya tar 3/5/1998. Kihistoria haijawahi kutokea ajali mbaya ya basi iliyoua watu wengi kama hiyo.
Mimi ni miongoni mwa wale 9 walionusurika kwa neema ya Mungu. Ajali hii ilihusisha basi la kampuni ya NO CHALLENGE ambayo baada ya ajali ile ilibadili jina na kujiita TASHRIFF. Ajali ilitokea Mkoani Tanga, Wilaya Muheza, kijiji cha Kibanda. Bus lililokua na namba za Usajili TZK 960 lilikuwa likitoka Tanga kuelekea DSM.
Kipindi hicho kulikuwa na mvua nyingi zilizobatizwa jina Mvua za El-Nino. Tulipofika kijijini hapo tulikuta mabasi mengi yamesimama kutokana na kujaa maji kwenye mto Msangazi. Kuanzia mabasi makubwa hadi madogo kama Coaster na Hiace. Pia zilikuwepo gari binafsi.
Kwenye kijiji cha Kibanda kuna mto uitwao Msangazi. Ulikua umejaa maji. Basi tulilopanda lilijaribu kuvuka ng'ambo ya pili ili kuendelea na safari. Baadhi ya abiria wa mabasi mengine walidandia basi letu ili wavuke kuendelea na ratiba zao. Lakini halikuweza kufika ng'ambo. Lilisombwa na maji. Likasukumwa mtoni na kuzama kabisa.
Watu 96 wakapoteza maisha, wakiwemo wale waliodandia. Sehemu kubwa ya abiria walifia ndani ya basi kwa kushindwa kutoka. Wachache walioweza kutokea madirishani walikufa kutokana na kusombwa na maji yenye kasi ya mto huo. Ilikua simanzi kubwa.
Pamejengwa mnara wa kumbukumbu ya wafu na majina yao. Lakini naambiwa vijana wa vyuma chakavu walishakwanyua kibao kilichokuwa kimeorodhesha majina ya wafu 72 waliotambulika na wengine 24 ambao hawakutambuliwa.
Katika wale 9 tuliosalimika, mmoja wao ni Mzee Ramadhani Kimbunga aliyekuwa Dereva wa basi hilo. Bahati mbaya pamoja na kuokoka kwenye ajali hiyo alikuja kufa miezi michache baadae kwa kifo cha kawaida. Manusura wengine wawili nao walishafariki kwa nyakati tofauti, na tuliosalia hai mpaka sasa ni 6 tu.
Baada ya ajali hiyo kampuni ya NO CHALLENGE ikabadili jina na kujiita TASHRIFF kwa sababu Challenge imeshatokea. Nimeona niwakumbushe maana wengi wamesahau. Na tuliosalimika ili kusimulia tumebaki 6 tu. Tujifunze kupitia kisa hiki ili kuepusha ajali nyingine za aina hii.
View attachment 2608991
Acha tu,bi mkubwa mwenyewe hataki umkumbushie kabisa hyo ajali ilivyotokea,anapandisha hadi presha akiogopa lile tukioNi kweli maji yalionekana ya kawaida tu, ila lilipotokomea basi zima ndio ukweli ukadhihirika...
Heb
Pole Dana mzee.hebu tukumbushie na air msae mpaka kubadilishwa kuwa Kilimanjaro bus nasikia nayo ilizama mtoni 1998 Enzo za elnino.anaejua hii taarifa atupe mkanda mzma
hahahahaMkuu unataka kusema bus lililazimisha kupita maji yakiwa mengi kimo cha mnazi au??
Hatari sana mkuu… teh teh tehhahahaha
Lilistua kwa kweli, halikuwa jepesi.Acha tu,bi mkubwa mwenyewe hataki umkumbushie kabisa hyo ajali ilivyotokea,anapandisha hadi presha akiogopa lile tukio
Poleni. 1998 nipo form 6 napiga PGMAnaandika mzee Joseph Jandwa
Leo 3/5/2023 imetimia miaka 25 tangu ajali ya basi iliyosababisha vifo vya abiria 96 na majeruhi 9, ilipotokea jioni ya tar 3/5/1998. Kihistoria haijawahi kutokea ajali mbaya ya basi iliyoua watu wengi kama hiyo.
Mimi ni miongoni mwa wale 9 walionusurika kwa neema ya Mungu. Ajali hii ilihusisha basi la kampuni ya NO CHALLENGE ambayo baada ya ajali ile ilibadili jina na kujiita TASHRIFF. Ajali ilitokea Mkoani Tanga, Wilaya Muheza, kijiji cha Kibanda. Bus lililokua na namba za Usajili TZK 960 lilikuwa likitoka Tanga kuelekea DSM.
Kipindi hicho kulikuwa na mvua nyingi zilizobatizwa jina Mvua za El-Nino. Tulipofika kijijini hapo tulikuta mabasi mengi yamesimama kutokana na kujaa maji kwenye mto Msangazi. Kuanzia mabasi makubwa hadi madogo kama Coaster na Hiace. Pia zilikuwepo gari binafsi.
Kwenye kijiji cha Kibanda kuna mto uitwao Msangazi. Ulikua umejaa maji. Basi tulilopanda lilijaribu kuvuka ng'ambo ya pili ili kuendelea na safari. Baadhi ya abiria wa mabasi mengine walidandia basi letu ili wavuke kuendelea na ratiba zao. Lakini halikuweza kufika ng'ambo. Lilisombwa na maji. Likasukumwa mtoni na kuzama kabisa.
Watu 96 wakapoteza maisha, wakiwemo wale waliodandia. Sehemu kubwa ya abiria walifia ndani ya basi kwa kushindwa kutoka. Wachache walioweza kutokea madirishani walikufa kutokana na kusombwa na maji yenye kasi ya mto huo. Ilikua simanzi kubwa.
Pamejengwa mnara wa kumbukumbu ya wafu na majina yao. Lakini naambiwa vijana wa vyuma chakavu walishakwanyua kibao kilichokuwa kimeorodhesha majina ya wafu 72 waliotambulika na wengine 24 ambao hawakutambuliwa.
Katika wale 9 tuliosalimika, mmoja wao ni Mzee Ramadhani Kimbunga aliyekuwa Dereva wa basi hilo. Bahati mbaya pamoja na kuokoka kwenye ajali hiyo alikuja kufa miezi michache baadae kwa kifo cha kawaida. Manusura wengine wawili nao walishafariki kwa nyakati tofauti, na tuliosalia hai mpaka sasa ni 6 tu.
Baada ya ajali hiyo kampuni ya NO CHALLENGE ikabadili jina na kujiita TASHRIFF kwa sababu Challenge imeshatokea. Nimeona niwakumbushe maana wengi wamesahau. Na tuliosalimika ili kusimulia tumebaki 6 tu. Tujifunze kupitia kisa hiki ili kuepusha ajali nyingine za aina hii.
View attachment 2608991
Pole sanaAnaandika mzee Joseph Jandwa

Na lile basi la kuitwa SATELLITE, lilikuwa ni jipya au ndio hizohizo za kubadili majina?1.>>> Shengena Bus Service. 2.>>> Air Shengena. 3.>>> No Challenge 4. >>> Tashrif