Satellite ni kampuni tofauti na ipo mpaka sasa.Na lile basi la kuitwa SATELLITE, lilikuwa ni jipya au ndio hizohizo za kubadili majina?
Ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri.Satellite ni kampuni tofauti na ipo mpaka sasa.
Mwanzoni mabasi yaliitwa Shengena. Baada ya mmiliki kufariki, watoto watatu wakagawana mabasi.
Mmoja akaita yakwake Air Shengena, mwingine Air Bus na mwingine akayaita No Challenge, baadaye yakawa Realy No Challenge na baadaye Tashrif na mmiliki amefariki karibuni.
AJALI NYINGI NI USHIRIKINA , KAFARA ZA WENYE MA BUS YAO.
kwaiyo waliroga maji yaongeze kasi?
AJALI NYINGI NI USHIRIKINA , KAFARA ZA WENYE MA BUS YAO.