Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

mi akinikera sioni shida kumnunia miezi mitatu,siku nikimchekea breki ya kwanza angaza ,then ndio nimchekee zaidi,kuna watu wana kera mtu unaona bora ukae kimya kuepusha msongamano wa matukio yasiyotarajiwa ati!
 
mapenzi ni mchanganyiko
mapenzi ni mkanganyiko
mapenzi ni mkagasiko
mapenzi ni masikitiko
mapenzi ni mfadhaiko
mapenzi ni mahangaiko
mapenzi ni muunganiko
mapenzi ni mitikisiko
mapenzi ni furahiko


mapenzi ni mchanyatiko, kila kitu kimo ndani, chagua mwenyewe
 
Hakuna kitu nachokichukia kama kununiwa bila mpango...ila dawa ya mnunaji ni kumpotezea tu na kutafuta alternative nyingine......
 
pilau Kununiana kupo but inashauriwa mfanye kila juhudi kutatua chanzo cha mnuno lol. Coz kwa kununiana ndo mnafungua mlango wa matatizo mengine na fursa ya mwenzi kutafuta hata mipango ya pembeni. Tatizo dogo sana lina weza ku end na tatizo kubwa.

Kwa wakristo... Efeso 4: 26 inasema hivi: [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]"Mkikasirika, msitende dhambi, wala jua lisichwe mkiwa bado mmekasirika, [/FONT][/FONT]27[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]wala msimpe ibilisi nafasi. " Hapo katika BOLD panahusika sana.[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][/FONT][/FONT]

Hili litawezekana kama tu kuna utamaduni wa kujishusha na hakuna kiburi/dharau/ majivuno... yani upo tayari kujishusha ili tu mambo yaende sawa. Whether wewe ndo umekosewa au umekosea.
 
Last edited by a moderator:
Wajameni (hususani wanandoa) ni kitu cha kawaida wengi kukuta watu wamenuniana hatari yaani hawasemezan hata mwezi mzima, unakuta kuna ugomvi kati yao kwa ishu ndogo tu hasa wivu, kulea watoto, kazi,ndugu na kubamba sms/email za mchepuko.

Binafsi nimesha experiece minuno kadhaa unakuta wife amefanya kosa Fulani unaamuliza kistaarabu lakini atakavyo-react balaa hakubali kama alikosea bali hutafuta KUJITETEA kwa kumbushia makosa yangu ya zamani tukiwa wachumba.

Hapo mimi huwa kimyaaa ili niepushe hasira za kumshushia MAKONDE.

Basi unafuata MNUNO hata wiki 3. Hebu tujuzane ikitokea umekutana na mnuno kwa mwenzi wako dawa ni nini?

 
Wanawake kwa asili wanapaswa kuwa watulivu na wanyenyekevu mbele za waume zao. Ukiona analeta kiburi basi ujue ameshapata bwana huko nje anampa dushelele na ndo kiburi kinapoanzia. Wenye majibishano/madharau dizaini hiyo WENGI wao ni WACHAGA (Marangu & Machame)
 
eti kumshushia MAKONDE weweee mwanamke huwa hapigiwi hata siku 1, nikupe siri moja ya kuishi na wanawake bila kugombana nao hata akikosea we jichekeshe tu na kuomba msamaha maana wengi wao wamejaliwa kuongea maneno ya kuudhi/matusi we jidai mjinga huku unaendelea na mambo yako maana kubishana na mwanamke ni sawa na kudai serikali ya TANGANYIKA irudi.
 
Wajameni (hususani wanandoa) ni kitu cha kawaida wengi kukuta watu wamenuniana hatari yaani hawasemezan hata mwezi mzima, unakuta kuna ugomvi kati yao kwa ishu ndogo tu hasa wivu, kulea watoto, kazi,ndugu na kubamba sms/email za mchepuko.
binafs nimeshaexperiece minuno kadhaa unakuta wife amefanya kosa Fulani unaamuliza kistaarabu lakini atakavyo-react balaa hakubali kama alikosea bali hutafuta KUJITETEA kwa kumbushia makosa yangu ya zamani tukiwa wachumba. Hapo mim huwa kimyaaa ili niepushe hasira za kumshushia MAKONDE. Basi unafuata MNUNO hata wiki 3. Hebu tujuzane ikitokea umekutana na mnuno kwa mwenzi wako dawa ni nini?


1. Kujishusha

2. Kupuuza yaliyomoyoni ilikuanza upya

3. Wengi hurudia hali tulivu kama unaweza mshawishi mwenza mkafanya tendo la ndoa - hushusha pressure na jazb na kufanya akili ku-relux
 
Duuh Tendo la ndoa katika hali hiyo ya kuzinguana hata u.boo unandinda kweli? mi nafikiri la muhimu ni kumkwepa mwenzio kwa muda wakati una hasira maana unaweza kuongea neon la ajabu na likamjeruhi huyo mwenzio maishani. Hasira zikitulia ndo make muongee
 
kujishusha ni jambo muhimu hasa mnapohitilafiana ingawa kuna baadhi ya wakina dada/kinamama wao huwa hawakubali kusahihishwa tena na mambo ya Gender Equity ndo balaa unaweza hata kuchapwa makofi na huyo mwanamke tena ukute amekuzidi kipato ndo hatari zaidi
 
Duuh Tendo la ndoa katika hali hiyo ya kuzinguana hata u.boo unandinda kweli? mi nafikiri la muhimu ni kumkwepa mwenzio kwa muda wakati una hasira maana unaweza kuongea neon la ajabu na likamjeruhi huyo mwenzio maishani. Hasira zikitulia ndo make muongee

Kuna wengine hawakwepeki anakukomalia mpaka kieleweke. Na wanavyojua kuongea hawa viumbe utakoma kumpenda. Anaweza kuwananga ukoo wenu mzima ndani ya sekunde chache tu.
 
Back
Top Bottom