Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

eti kumshushia MAKONDE weweee mwanamke huwa hapigiwi hata siku 1, nikupe siri moja ya kuishi na wanawake bila kugombana nao hata akikosea we jichekeshe tu na kuomba msamaha maana wengi wao wamejaliwa kuongea maneno ya kuudhi/matusi we jidai mjinga huku unaendelea na mambo yako maana kubishana na mwanamke ni sawa na kudai serikali ya TANGANYIKA irudi.
ni declare interest, nilishawahi kumdunda wife mara kama nne hivi katika maisha yangu, na nilimdunda haswa kwa hasira. ilikuwa miaka ya mwanzo ya ndoa, niliona ananipanda hadi kichwani, hivyo kwa miaka miwili hivi ya mwanzo ili tujuane, tulizinguana sana kwasababu alikuwa mbishi halafu kwao inaonekana alikuwa na sauti hadi kwa mzazi wake, hata mamake wakati tumegombana aliniambia nimvumilie kwasababu ana mdomo sana na huwa anapenda awe juu. niliadibisha vya kutosha, akaona sina utani hata tunda katikati silitaki akaona ehee nataka kutafuta mchepuko...akashuka, baadaye tumekuja kusomana na kujuana madhaifu tukashibana, mimi najua kitu gani sitakiwi kumfanyia na yeye anajua mipaka yake kwangu mimi kama mume akivuka tu anajua reaction yake, matokeo yake ndoa imekuwa nzuri ajabu, tuna miaka mingi sasa na tuna watoto wa kutosha, hatugombani tena na ana heshima mno. ila wadogo zake kwangu huwa hawakai alivyo mkali...mkali kweli kwa wengine ila mimi amenifanya kama mfalme...hahahaha.

ukiona kila mtu ametoka kwao na meno salasini na mbili, na pengine mmekulia kabila tofautu tamaduni tofauti, familia tofauti everything tofauti, ujue kuna differences nyingi sana ambazo hadi mje mkubaliane nazo kuishi nazo lazima mkwaruzane, msipokwaruzana hamtakuja kujuana na kushibana. ukiona ndoa hawajawahi hata kutemeana mate iyo ndoa kuna siku itakuja kufa kifo cha mende, ila wale ambao walishagombana na wakashibana na kuishi vizuri huwa hawaachani milele.
 
Wanawake kwa asili wanapaswa kuwa watulivu na wanyenyekevu mbele za waume zao. Ukiona analeta kiburi basi ujue ameshapata bwana huko nje anampa dushelele na ndo kiburi kinapoanzia. Wenye majibishano/madharau dizaini hiyo WENGI wao ni WACHAGA (Marangu & Machame)

Serious mkuu
 
Ewe mwanaume jishushe hata kama kosa ni lake mwanamke hayo mambo yaishe tu kwa wakati huo. Wanawake by nature ni wakarimu na wapole bali ikifika maeneo hayo hujidai hamnazo. Tunapaswa kuishi na wanawake kwa akili na si kwa mabavu. Jishushe (mwanaume) maisha yaendelee lakini ujue kichwani hapo unakaa na hamnazo so hata ishu zako za muhimu piga kimya kimya usimshirikishe
 
asante connections kwa ushauri mzuri ingawa inataka mwanaume uwe na moyo kuufanyia yaani kosa afanye yeye halafu ujishushe wewe daah!! anyway kuondoa maneno-maneno FUNIKA KOMBA MWANAHARAMU APITE
 
ni declare interest, nilishawahi kumdunda wife mara kama nne hivi katika maisha yangu, na nilimdunda haswa kwa hasira. ilikuwa miaka ya mwanzo ya ndoa, niliona ananipanda hadi kichwani, hivyo kwa miaka miwili hivi ya mwanzo ili tujuane, tulizinguana sana kwasababu alikuwa mbishi halafu kwao inaonekana alikuwa na sauti hadi kwa mzazi wake, hata mamake wakati tumegombana aliniambia nimvumilie kwasababu ana mdomo sana na huwa anapenda awe juu. niliadibisha vya kutosha, akaona sina utani hata tunda katikati silitaki akaona ehee nataka kutafuta mchepuko...akashuka, baadaye tumekuja kusomana na kujuana madhaifu tukashibana, mimi najua kitu gani sitakiwi kumfanyia na yeye anajua mipaka yake kwangu mimi kama mume akivuka tu anajua reaction yake, matokeo yake ndoa imekuwa nzuri ajabu, tuna miaka mingi sasa na tuna watoto wa kutosha, hatugombani tena na ana heshima mno. ila wadogo zake kwangu huwa hawakai alivyo mkali...mkali kweli kwa wengine ila mimi amenifanya kama mfalme...hahahaha.

ukiona kila mtu ametoka kwao na meno salasini na mbili, na pengine mmekulia kabila tofautu tamaduni tofauti, familia tofauti everything tofauti, ujue kuna differences nyingi sana ambazo hadi mje mkubaliane nazo kuishi nazo lazima mkwaruzane, msipokwaruzana hamtakuja kujuana na kushibana. ukiona ndoa hawajawahi hata kutemeana mate iyo ndoa kuna siku itakuja kufa kifo cha mende, ila wale ambao walishagombana na wakashibana na kuishi vizuri huwa hawaachani milele.

Hii theory yako nitaiapply in no time.
 
ni declare interest, nilishawahi kumdunda wife mara kama nne hivi katika maisha yangu, na nilimdunda haswa kwa hasira. ilikuwa miaka ya mwanzo ya ndoa, niliona ananipanda hadi kichwani, hivyo kwa miaka miwili hivi ya mwanzo ili tujuane, tulizinguana sana kwasababu alikuwa mbishi halafu kwao inaonekana alikuwa na sauti hadi kwa mzazi wake, hata mamake wakati tumegombana aliniambia nimvumilie kwasababu ana mdomo sana na huwa anapenda awe juu. niliadibisha vya kutosha, akaona sina utani h

umenisema lakin nimejfunza jambo.huyo mkeo ni mim kabisa..m ni mkali had kwa baba angu.mpnz wangu lakn ni mpole had huruma.daah ntajitahd kuijua mipaka yangu kwake
 
eti kumshushia MAKONDE weweee mwanamke huwa hapigiwi hata siku 1, nikupe siri moja ya kuishi na wanawake bila kugombana nao hata akikosea we jichekeshe tu na kuomba msamaha maana wengi wao wamejaliwa kuongea maneno ya kuudhi/matusi we jidai mjinga huku unaendelea na mambo yako maana kubishana na mwanamke ni sawa na kudai serikali ya TANGANYIKA irudi.

Very true mpendwa. Kumpiga mwanamke ni kosa kubwa sana ambalo baadae utakuja juta baada ya kulifanya . Thanks!
 
Wajameni (hususani wanandoa) ni kitu cha kawaida wengi kukuta watu wamenuniana hatari yaani hawasemezan hata mwezi mzima, unakuta kuna ugomvi kati yao kwa ishu ndogo tu hasa wivu, kulea watoto, kazi,ndugu na kubamba sms/email za mchepuko.
binafs nimeshaexperiece minuno kadhaa unakuta wife amefanya kosa Fulani unaamuliza kistaarabu lakini atakavyo-react balaa hakubali kama alikosea bali hutafuta KUJITETEA kwa kumbushia makosa yangu ya zamani tukiwa wachumba. Hapo mim huwa kimyaaa ili niepushe hasira za kumshushia MAKONDE. Basi unafuata MNUNO hata wiki 3. Hebu tujuzane ikitokea umekutana na mnuno kwa mwenzi wako dawa ni nini?

Binafsi mpemdwa nimejifunza vitu fulani kwenye mahusiano ingawaje si mwanandoa ila naomba nichangie kiroho na kama nitakosea wajuaji ninaomba mnirekebishe please. Kitu cha kwanza kama couples never ,never go to bed mkiwa mmenuniana . Nikiimanisha kwamba pamoja na Yale yote mliyokoseana hebu jaribuni kuyaongelea mkiwa kitandani na muombane msamaha hata kama kosa lilikuwa si lako hebu humble kwa kuomba Radhi then sawazisheni kwa kumake up with more romantic......stuffs.
Hakuna kitu kibaya kama kukaaa na kinyongo, kulipizana visasi, kujiweka juu katika mahusiano, na sisemi hivi uwe mjinga no but sometimes we need to be listener and less talker kuepusha Shari.
Kwa sisi wanawake kuongea na kazi yetu, seriously sometime utakuta wapenzi wetu or mume zetu wametukwaza kidogo but we take it very big thing and saa nyingine we even tried to remind wapenzi wetu mambo ambayo yaliyopita tangu mwaka arobaini na saba, you why we do this? Because either hatulusamehe completely, ile kitu ilituuma sana to the point that haiwezi kutoka kabisa mioyoni mwetu au kile kitu mume au wapenzi wetu walivyotukosea Bado wanavifanya na vinatukwaza sisi.

Things to do tukiwa katika hali kama hizi ni:

Tujitahidi or tuweke msimamo wote as couples kuwa no matter what tusiende kitandani na hasira, kununa.

Just be happy a with the moment and take things easy without backfire us .

Msamaha, msamaha , tujitahidi kuwa wepesi Wa kuomba msamaha na kujifunza kitu kutoka kwenye ule msamaha tuliwaomba wenzetu.

Forgive , tunapoamua kumsamehe MTU / wapenzi/ mume/ mke tuwe willing kusafisha mioyo yetu na kuwa safi kwa kutokuweka kinyongo.

Tupeane maneno mazuri - tujifunze kupeana maneno mazuri na kutufanya wote kuwa tunafurahia kuwa pamoja.

Tukumbushane- hebu sometimes tujikumbushe kwa nini we fell in love with the person you / we are married or be with . Hii itatusaidia kuamsha hisia zilizopotea or sometimes even to get us more closer than before na kutufanya tusahau yale mabaya ya wapenzi wetu na kukumbuka Yale mazuri .
Share things - tujitahidi kuwafanya mume/ wapenzi/ wachumba more than they are . Tuwachukulie kama marafiki, best friend. Tujitahidi hata kama kuna vitu vinatusumbua instead ya kuviweka na kuvirundika moyoni ( hii tabia wanawake wengi tunayo, uwoga) mpaka siku wenzetu wakituudhi tunajibu kihasira, kukumbusha ya mwaka 47 au kujitetea hii ni mbaya. Hebu tuwe free kwa spouses, wachumba na wapenzi Kwani hii inasaidia pia kupunguza stress tulizo nazo or mizigo tuliyo nayo. Samahani kama nimekwenda siko. Kama kuna wengine please share nasi. Thanks.
 
Unatumia formula ya kizamani sana. Ukiona mwanamke hagombani na wewe hata ufanye upuuzi gani, kila unachosema anakuitikia tu basi ujue hapo kapata 'bwana' tena aliekuzidi ujuzi. Ndo ustuke sasa. Hivi ukiwa full mapenzini unamfanyia kiburi sponsor ili iweje?
Wanawake kwa asili wanapaswa kuwa watulivu na wanyenyekevu mbele za waume zao. Ukiona analeta kiburi basi ujue ameshapata bwana huko nje anampa dushelele na ndo kiburi kinapoanzia. Wenye majibishano/madharau dizaini hiyo WENGI wao ni WACHAGA (Marangu & Machame)
 
Mnanuniana wiki tatu???? Dawa ya mtu aliekununia wewe wala usimpatilize zaid msalimie tu fanya yako yeye anune had apasuke maana dawa kutatua tatizo n kukaa chini mkaliongea likaisha kama kaamua kununa ujue kuna ukweli hapo maana ukweli huuma..
 
ni declare interest, nilishawahi kumdunda wife mara kama nne hivi katika maisha yangu, na nilimdunda haswa kwa hasira. ilikuwa miaka ya mwanzo ya ndoa, niliona ananipanda hadi kichwani, hivyo kwa miaka miwili hivi ya mwanzo ili tujuane, tulizinguana sana kwasababu alikuwa mbishi halafu kwao inaonekana alikuwa na sauti hadi kwa mzazi wake, hata mamake wakati tumegombana aliniambia nimvumilie kwasababu ana mdomo sana na huwa anapenda awe juu. niliadibisha vya kutosha, akaona sina utani hata tunda katikati silitaki akaona ehee nataka kutafuta mchepuko...akashuka, baadaye tumekuja kusomana na kujuana madhaifu tukashibana, mimi najua kitu gani sitakiwi kumfanyia na yeye anajua mipaka yake kwangu mimi kama mume akivuka tu anajua reaction yake, matokeo yake ndoa imekuwa nzuri ajabu, tuna miaka mingi sasa na tuna watoto wa kutosha, hatugombani tena na ana heshima mno. ila wadogo zake kwangu huwa hawakai alivyo mkali...mkali kweli kwa wengine ila mimi amenifanya kama mfalme...hahahaha.

ukiona kila mtu ametoka kwao na meno salasini na mbili, na pengine mmekulia kabila tofautu tamaduni tofauti, familia tofauti everything tofauti, ujue kuna differences nyingi sana ambazo hadi mje mkubaliane nazo kuishi nazo lazima mkwaruzane, msipokwaruzana hamtakuja kujuana na kushibana. ukiona ndoa hawajawahi hata kutemeana mate iyo ndoa kuna siku itakuja kufa kifo cha mende, ila wale ambao walishagombana na wakashibana na kuishi vizuri huwa hawaachani milele.

Kumpiga Mwanamke hata sio jambo la kujisifia. It meanz unatumua Ubabe. Mapenzi sio Ubabe... Wala si kulazimishana. Kama Mlianza kwa Urafiki, Kisha Uchumba hatimae Mke, huwezi mpiga... Maana kwa kipindi hicho chote mtakuwa mmeshasomana. Siaminu katika kumpiga Mwanamke. My Principles are simple... Nakuelimisha.. Nakukanya, kama hunielewi nakuacha Full stop. Kupiga piga, Unaeza nunua kesi ukapoteza muda mahabusu bila sababu za Msingi, n to alert my Fellow Men, mwanamke kukufunga ni rahisi mno. Tuishi nao kwa Akili.
 
Haswa ni Kweli mdear . Mmechokana achaneni kuliko kudundana kama ngoma shida yote ya nini. Halafu mnawafundisha watoto wenu nini? Kwamba its okay to do it ? Or? Any smart and wise man will never do this to the person he loves. Thanks!
 
Kumpiga Mwanamke hata sio jambo la kujisifia. It meanz unatumua Ubabe. Mapenzi sio Ubabe... Wala si kulazimishana. Kama Mlianza kwa Urafiki, Kisha Uchumba hatimae Mke, huwezi mpiga... Maana kwa kipindi hicho chote mtakuwa mmeshasomana. Siaminu katika kumpiga Mwanamke. My Principles are simple... Nakuelimisha.. Nakukanya, kama hunielewi nakuacha Full stop. Kupiga piga, Unaeza nunua kesi ukapoteza muda mahabusu bila sababu za Msingi, n to alert my Fellow Men, mwanamke kukufunga ni rahisi mno. Tuishi nao kwa Akili.
sishabikii kumpiga, ila inakuja automatic, na watu mkigombana haimaanishi mtagombana siku zote. hiyo ni moja wapo tu ya namna ya kuexpress your feelings kwamba you are fed up. nenda waulize wanawake wote, kati ya kuvubuana na kuachana bora kipi, watakupa jibu. kupigana si kitu kizuri, na ukipiga mke ujue hadi miezi si chini ya mitatu bado kutakuwa na enemity fulani kati yenu unahitaji mda kuisafisha na kurudi katika hali yake. sasa kama mwanamke anakupanda kichwani, Bible yenyewe imeandika wanawake watiini waume zenu yeye hafanyi hivyo na anafanya makusudi akujua utafanya nini....hadi kufikia kudharauliana, hadi mwanaume unachoka nyumba unaanza kurudi saa tano usiku haelewi, mara unakimbilia kwenye mchepuko tu ili uende kupunguza stress...utamfanya nini mwanamke huyo? ukimwacha ni worse than ukimtandika, ukimrudisha kwa wazazi wake haisaidii, na mkiendelea na ugomvi ujue hamtapeana tunda na matokeo yake kila mtu atatafuta mchepuko na kuleta magonjwa, si bora mmalizane mapema mahasira yaishe mtakuja kupatana baadaye ili muishi vizuri...hahaha.

however, kusema kweli sishabikii kupiga mke. siku hizi siwezi kumpiga kwasababu amebadilika. na hata kama asingebadilika ambacho ningekifanya ningempa saikolojiko tosha ambayo angeona bora angepiga mbata.
 
Ewe mwanaume jishushe hata kama kosa ni lake mwanamke hayo mambo yaishe tu kwa wakati huo. Wanawake by nature ni wakarimu na wapole bali ikifika maeneo hayo hujidai hamnazo. Tunapaswa kuishi na wanawake kwa akili na si kwa mabavu. Jishushe (mwanaume) maisha yaendelee lakini ujue kichwani hapo unakaa na hamnazo so hata ishu zako za muhimu piga kimya kimya usimshirikishe
mwanamke akikosa mwanaume hautakiwi kujishusha, anayetakiwa kujishusha ni mwanamke na si mwanaume. ukiona mwanaume anajishusha kwa mkewe huyo kaolewa au bwabwa. utajishushaje kwa mwanamke, ina maana mwanamke yuko juu yako? we jamaa sijui unaongea nini. wanawake ni wadhaifu sana ukiona amefanikiwa kukupanda kichwani na wewe ukapandika hakika anaweza kufanya madudu ya ajabu hadi utashangaa na atakudharau kwanza. ukiona hauna uwezo wa kumtawala mkeo wewe umeolewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom