Grand Master Dulla
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 411
- 146
OMG pole,umeniumiza yani mimi ni mwepesi sana kujishusha kwa mume wangu,kama mke hawezi kujishusha jishushe wewe kuondoa kununiana.Tatizo la kaka zetu hampendi kubembeleza wake zenu,unajua wanawake tunapenda sana kudekeszwa/kubembelezwa,please usifanye hivyo mshike mkono sema nae.shemeji yako anapenda kununa nuna kama nyie hapo,lakini najisemeshaga na kujichekesha mpaka anakuwa normal,yani sipendi kununiana ndani mimi,pole shemeji!
Sio bure utakuwa umelogwa wewe,yaani kila siku ananuna halafu unambembeleza sasa utakuwa umeoa au umeolewa kubembeleza hiyo ni kazi ya mke ukirudi home umechoka anakuliwadha.